Loading video...
Video Failed to Load
Ila hiki chuma🫡🙌🏾
39,035 views • 2 years ago •via X (Twitter)
9 Comments

wakuja2 years ago
@Square_787 Principal zake Mwamba anajikubal sana

youngblood2 years ago
Hiki kichwa. Sema kibongo serikali haipendi challenges za hiv, watafanya kila kitu asipite daah

Mushumbusi2 years ago
Hipo hop mamae 🙌🙌

wakuja2 years ago
Hardcore

Mkuu2 years ago
Hiki kichwa @Mwabuk2Boniface n hatari na nusu, hawa ndio wazarendo na ndio wakombozi wa nchi yetu. Mungu anawainua tuwaunge mkono ukombozi unakuja.

Mwasifiga2 years ago
Hiki ndio kichwa sasa ukisikia kichwa

Edga Erasto2 years ago
President

SIMBA2 years ago
Aiseee 🙌🏾

Frankly Benard2 years ago
Fwaactyyy kabsaa 💪💪
