Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Ila huyu dogo 😎
10 Yorum

Vester1 yıl önce
Saa hii wazee suti nyeusi wapo naye kwanza, wanamfundisha heshima🤣🤣🤣

KING MAESTRO1 yıl önce
Sema wabongo tumekua waoga sana kila mtu anamuona huyo dogo kama ni mhaini, sidhani km kuna watu wa kufanya mabadiliko hapa 😂😂😂

MR. ROCK CITY1 yıl önce
HUYU JAMAA NI KAMA HUWA ANAMPENDA MAZA ILE YENYEWE KABISA😆😆😆

MGALATIA WA( 2)🍎🍏🍇1 yıl önce
Hata mm sikupenda alipitiliza Ila anatakiwa ajitambue huwezi kufanya yale kwa mh no 1.

Adam Smith1 yıl önce
Sio kwa ubaya, shule ni muhimu sana.

Shaüri Jř🦂1 yıl önce
Huyu Dogo Hana Infrastructure,Management And Governance 😎

C A P T A I N 🇹🇿1 yıl önce
Mazoea yamezidi amesahau huyu ni Rais 😂🤣

tbway1 yıl önce
Wazee wa tinted wanasema nae kikabila

Linus Haonga1 yıl önce
Anajisahau sana an

Bettor1 yıl önce
Huyo dg uhuru umezidi, hatakiwi kufanya hivo
