ๆญฃๅจๅ ่ฝฝ่ง้ข...
่ง้ขๅ ่ฝฝๅคฑ่ดฅ
Ila huyu mzee ๐๐
82,176 ๆฌก่ง็ โข 3 ๅนดๅ โขvia X (Twitter)
45 ๆก่ฏ่ฎบ

Mungu amlaze mahali pema peponi amina

Ameen

One thing about wasukuma ni hawanaga mambo ya kuvunga ๐น๐คฃ๐ฅ

@claramogul Si unajua ๐

@claramogul Wasukuma mna nafac yenu mbinguni๐

@claramogul Saana ๐

@claramogul Mna ka moyo flani hivi๐ฅ๐

@claramogul Hatunaga baya ๐

@claramogul ๐๐ ๐ au baba MG๐

@claramogul

Hiki kilikuwa chuma kwelikweli. Kiboko ya mafisadi. Hadi akina Rostam Aziz waliikimbia nchi kwa miaka kadhaa.... R.I.P Mwamba JPM

Dadeeeeq nimechoka kifala ๐๐๐๐ Jiwe was something else ๐

๐๐๐ kwanza mhindi unavyopigwa

๐๐

nani anikopeshe hata milioni moja ๐๐๐

"unataka kupanuliwa?" ๐

Faza hajawahi kutusema vijana

Hakuacha Usukuma wake nyuma no mara wa ๐

Huyu ni mwamba kwelikweli. Ila kuna baadhi ya watu aliwaamini kimakosa na ndio sabab saiv zimebaki video zake tu.. alikua rais wa waTz

Ngosha katika ubora wake๐คฃ

Angeendelea kuwapanua tu

Nitapaliwa na ka beer ๐บ kangu aisee๐๐๐

๐๐

Karudia hiyo kauli ni uhuni Mzee alikua muhuni!!๐๐๐๐

Ila faza alitusisitiza sana vijana tuoe, alikua na maaana yake

Maskinii cdhani kama alikuja kula hindi tena baada y apa๐ฅฒ R.I.P

Hana BAYA mzeee wetu

Anavyokula mahindi sasa kama ngedere ๐๐

๐๐๐๐๐ May his soul rest in eternal peace ๐๏ธ

Have missed my dream President till the Lord give me the other one.

Tutamkumbuka sana

๐๐๐๐

A President of my lifetime. May he RIP

Ingekua kuna chance ya kurudi dah basi tu p

๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ

kheee๐คฃ๐คฃ๐คฃ

๐๐๐๐๐

Yani hapo msukuma anakula bites๐๐๐

Aki, Nimisi vitu kama hivi aseeeh ni buridani tu ๐คฃ๐คฃ

๐๐

Hivi mara paah 2025 mzee huyu hapa na chama cha Hashim Rungwe anagombea itakuwaje?๐คซ

Mwisho wa siku maisha hubaki historia na kumbukumbu

Mic himu much

Na bado hamjasema๐ ๐ ... Alipokuwa hai mlimpinga

daah๐
็ธๅ ณ่ง้ข
Huyu Mzee kuna mda unashawishika kumuelewa ila akili inakataa
Sean |๐ฆฉ
73,121 ๆฌก่ง็ โข 2 ๅนดๅ
