正在加载视频...
视频加载失败
Ila kwa kweli
9 条评论

Moses Ismail, PhD3 年前
Uhalisia unapofungua moyo wa utoaji

Nyahucho3 年前
MC amefanya unyama sana, hii nimeikubali

prince Alli ☆🤴3 年前
Sema ss wanadamu, chalii angekuwa nje tu ya ukumbi hapo akaomba sapoti ya kamtaji ,haohao wangemuita mwiz na angeonekana anaharibu sherehe, Tunatoa xna kwa maonyesho

Harrison Williams🇹🇿🇰🇪3 年前
MC katumia akili kubwa sana. Ila mwana atakuwa alimtukana sana kimoyomoyo🤣🤣

Dr.Julius E.AlmaS3 年前
Mc katisha Sana kwakweli 🔥🔥 Uanaume kabisa

M.D (🅨)3 年前
Daaah safi sana

Ruben Maduhu🇹🇿3 年前
Ameweza taking advantage of the situation and making the most of it plus giving back. Huyu jamaa wa 800 naweza sema "ukweli na uwazi umemlipa"

Florino Nyoni3 年前
30000 kabaki nayo almost kaingiza 22000 kwasababu ya ukweli na 120000 kampa mdogo ake🤣👐🤣👐👐.

Godfrey G. Mateo Ngoi3 年前
Uzalendo ungenishinda na undugu na bwana harusi ungeishia hapo yani 150k!!? 🤔 labda sio jobless mimi
