正在加载视频...
视频加载失败
Ila ngozi nyeupe !! 😂🙌
10 条评论

max1 年前
Unapoona tu hustahiri kuteseka sababu ya rangi,au elimu,au jina jua unafirwa siku sio nyingi. Dogo kuwa makini.

abudhabi1 年前
Umeongea vizuri ila mwanangu mwanangu mwanangu imezidi sana inaharibia story yako,

Dazzy Elly1 年前
Ndio ushoga unapoanzia,kujiona hamtakiwi kupata tabu kisa rangi.

Solar Heavy1 年前
- All I Knew

CAPUPHEE1 年前
@makulamr5 huyu sio jamaa wa RUCU pale??

Omary Mjema1 年前
Wapemba wanajitaga warabu kivipi we mweusi hata mnyiramba mweupe unajita mweupeeee

#Dr dree🩺1 年前
🤣🤣

Iam Mr six1 年前
@kidee_bwax mwenzio Kasema ukweli

🥷🏿geffffff1 年前
Shida huyu mwanangu ana mwanangu nyingi mno

RICH DONKEY1 年前
njinsi anavyoongea tu hana maisha ya kusukumana sukumana kwa ana unyasu nyasu flan ...mafuta mafuta.....uyu mlangon wa bus xa mbagala watu wanapima oil na ndani watu wanachaji betri
