Loading video...
Video Failed to Load
Ila Pombe😂😂😂
53,617 views • 1 year ago •via X (Twitter)
11 Comments

Dr_kidevu1 year ago
KAMA HUJAWAHI KULEWA HUWEZI MUELEWA HUYU JAMAA 😂😂

Solar Heavy1 year ago
- All I Knew

Matale Msangi1 year ago
Hii inaweza kuwa k vant, asubuh akiulizwa atabisha🤣

Eng Msaki1 year ago
Na ni lazima abishe Ila uzuri Kideo ipo😂😂😂

eshy official1 year ago
Akija kujiona atajishangaa😀

Eng Msaki1 year ago
Sana😂

niovivi1 year ago
Alafu si kwenye sherehe 😆😆😆huyu ni wa kwa msaki bila shaka

Eng Msaki1 year ago
Umetumwa😂😂😂😂

Meja Siyabonga Nomvethe1 year ago
WATU wa system mkiwa kwenye meza yenu hapo mizuka ilikuwa high, pembeni nauona mkoba wa Mary 🤣🤣🤣🤣

Eng Msaki1 year ago
Umeniandama na hilo jina la marry😂😂😂

kioctopizzo1 year ago
Kwa hii clip najiona mm kabisa coz am crazy with music vibes
