Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
😅😅 ila RC buana.
10 Yorum

Mukajanga2 yıl önce
😀😀😀

CLARA🖤2 yıl önce
Yani alivyo shikilia mlango hapo ni kama chawa kaomuona boss anakuja😹

M A G I R I2 yıl önce
😅😅

Boniface Rodgers2 yıl önce
Alafu Angalia Hapa Engineering 🤣🤣

Lumola Steven Kahumbi2 yıl önce
Aisee nilijua ni comedy. Hivi hawa watu wanaowateua huwaga wanawatoa wapi? Wanazingatia nini kuteua hawa watu?

MβÊYΛ βǾY2 yıl önce
Mikwara miiingi kumbe analawiti watu!

Ford Sony2 yıl önce
Shida kubwa ni kwamba mfumo unaamini wafia chama walio wengi wajinga kuliko waelewa wasio fia chama

Musa | UI/UX designer2 yıl önce
alikuwa anakagua miradi😂😂

M A G I R I2 yıl önce
😅😅

UNCLE T 🇹🇿2 yıl önce
"Toa uchafu wako hapa" na leo yeye amatolewa kama uchafu kwa wenzake.
