Skip navigation
Ila wakenya ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿคฃwanavituko sana๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
0:00 / 0:25

Ila wakenya ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿคฃwanavituko sana๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

Isaack lasway jiwe linaloishi

@Isaacklasway18.4K followers

Visit on X
486 likesDownloadOriginal post

80,140 views

Ila wakenya ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿคฃwanavituko sana๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

62 Comments

Comments from the original post on X (Twitter)

  • โ„ค๐•€โ„‚๐•†'s profile picture

    @jojogoah

    Mpepe wanaovuta wakenya duniani haupo huuu unatoka sayari ya mars kbsaaaa daaaaaa nimecheka Sana aiseeee Ila wa tz tukifika huku tutajikomboa kbs

    21 likes

  • Isaack lasway jiwe linaloishi's profile picture

    @Isaacklasway1

    Jamaa anaingia nalo kituoni askari anamwambia utalala nalo ndani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

    25 likes

  • โ„ค๐•€โ„‚๐•†'s profile picture

    @jojogoah

    Jamaa wanajivunia Sheria zao zinawabeba kbsaaa Ruto akiendelea kukaza litamdondokea huyoooo Raila Odinga anapendwa Sanaa aiseeee Tena na vijana sasa

    8 likes

  • Isaack lasway jiwe linaloishi's profile picture

    @Isaacklasway1

    Sana

    5 likes

  • CHOLLO's profile picture

    @nassor_01

    We unabeba Kama Nani๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

    12 likes

  • Isaack lasway jiwe linaloishi's profile picture

    @Isaacklasway1

    @nassorchollo16 Askari anamwambia utalala nalo ndani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

    15 likes

  • CHOLLO's profile picture

    @nassor_01

    ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

    4 likes

  • Justivo๐Ÿšฆ's profile picture

    @JusticeVoic6

    Wamevurugwa hivi unaijua njaa Wewe

    11 likes

  • Isaack lasway jiwe linaloishi's profile picture

    @Isaacklasway1

    @Leejr_04 Katika vitu ambayo havina heshima ni njaa na Nyege ๐Ÿ˜‚

    24 likes

  • Justivo๐Ÿšฆ's profile picture

    @JusticeVoic6

    Njaa ni Mbaya saana Mzee bora nyege

    4 likes

  • Mikel Obi's profile picture

    @Bwamkuu6

    @Leejr_04 @Isaacklasway1 Hujabananwa na nyege ww

    1 like

  • Justivo๐Ÿšฆ's profile picture

    @JusticeVoic6

    @Isaacklasway1 Vijana wa hovyo nyie yaani nina njaa alafu Nyege ndiyo nini?

    1 like

  • Isaack lasway jiwe linaloishi's profile picture

    @Isaacklasway1

    @Leejr_04 @Bwamkuu6 Twende Kenya

  • Joy Rich's profile picture

    @Joy_Mbura

    Hana wasiwasi pia anavyoingia ๐Ÿ˜‚

    9 likes

  • Isaack lasway jiwe linaloishi's profile picture

    @Isaacklasway1

    Anachekesha ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

    7 likes

  • ๐ŸญAlvinBen10๐Ÿผ's profile picture

    @cardinalB10

    Wakenya wana kitu watafika mbali

    7 likes

  • Isaack lasway jiwe linaloishi's profile picture

    @Isaacklasway1

    Comedy aisee ๐Ÿคฃ

    6 likes

  • Julius Joseph Massabo.'s profile picture

    @juliusmassabo

    Message well delivered kwa Watawala ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

    6 likes

  • Isaack lasway jiwe linaloishi's profile picture

    @Isaacklasway1

    Massabo nawasubiria zambarau mwandamane ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

    9 likes

  • Julius Joseph Massabo.'s profile picture

    @juliusmassabo

    Tuupe muda nafasi

    1 like