ๆญฃๅœจๅŠ ่ฝฝ่ง†้ข‘...

่ง†้ข‘ๅŠ ่ฝฝๅคฑ่ดฅ

Imagine huyu ni Diwani! ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ

148,356 ๆฌก่ง‚็œ‹ โ€ข 17 ๅคฉๅ‰ โ€ขvia X (Twitter)

32 ๆก่ฏ„่ฎบ

BARADHULI ็š„ๅคดๅƒ
BARADHULI17 ๅคฉๅ‰

Fikra za kimaskini ni kudhani kila mwenye mafanikio ni mwizi. Ingekuwa udiwani unampa mtu maisha hayo basi kila diwani angekuwa na maisha kama hayo.

PaschalSam1 ็š„ๅคดๅƒ
PaschalSam117 ๅคฉๅ‰

Udiwani ameupata tayari yuko top na malengo yake sio udiwani huyu, lazima atakua anawinda nafasi za juu..

cousin 420 ็š„ๅคดๅƒ
cousin 42017 ๅคฉๅ‰

Huyu ni mfanyabiashara mkubwa sana toka hujazaliwa.

Trica Online Store๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ ็š„ๅคดๅƒ
Trica Online Store๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ17 ๅคฉๅ‰

@Brain_pro36 we jamaa bana au ndio kitiki hicho ๐Ÿ˜‚ sasa tosh kapata pesa akiwa diwani ? toa neno diwani huyo pesa anazo kitambo

Mdudu ็š„ๅคดๅƒ
Mdudu17 ๅคฉๅ‰

@Brain_pro36 Udiwani kivuli tu kurahisisha mbishe zieende maana mjini hapa ukiwa kwenye chama ma deal yako yanaenda ndio maana kina fredy,Engerneer deile wanapambania majimbo yote ni mambo yao yaende vizuri hapa mjini huyo jamaa don kitambo ni mfanya biashara

Buba9๏ธโƒฃ9๏ธโƒฃ ็š„ๅคดๅƒ
Buba9๏ธโƒฃ9๏ธโƒฃ17 ๅคฉๅ‰

Huyu ndo mmliki wa lile Je go la DDC kariakoo nasikia

macheda ็š„ๅคดๅƒ
macheda17 ๅคฉๅ‰

Sasa mtu Biashara yake kubwa ni ya majengo ana magorofa mengi sana, unadhani ataishi kwenye nyumba ya kiseng? Pili amejenga msikiti mkubwa sana pale mwenge anadizevuu kuishi maisha haya Mungu azidi kumbariki.

NABOSI ็š„ๅคดๅƒ
NABOSI17 ๅคฉๅ‰

Huyu udiwani ni foot step th ya kuingia kwenye siasa, anautaka ubunge huyu ndio nia yke haswaaa.

Eng. James Munisi ็š„ๅคดๅƒ
Eng. James Munisi16 ๅคฉๅ‰

๐Ÿ’จ Huyu mzee ni Tajiri haswa ndio mwenye kampuni ya Tosh Cargo pia Jengo la Infinix Kariakoo ni lake bado nasikia ako na majengo mengine pia ana Yard ya magari.

Latto ๐• ็š„ๅคดๅƒ
Latto ๐•16 ๅคฉๅ‰

Kabisa Mwamba udiwani kachukua tu ahudumie wananchi

Loud speaker. ็š„ๅคดๅƒ
Loud speaker.17 ๅคฉๅ‰

Ukitaka kuwa mharifu mzuri kuwa upande wa CCM.

Suma viatu๐Ÿ‘ž ็š„ๅคดๅƒ
Suma viatu๐Ÿ‘ž17 ๅคฉๅ‰

Unalijua jengo la DDC ?

Mr:Rasta๐Ÿšฌ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ฒ ็š„ๅคดๅƒ
Mr:Rasta๐Ÿšฌ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ฒ17 ๅคฉๅ‰

Hii nchi kuna watu wanaishi na kuna sisi ambao ndio Tunaishia Mungu tupe mwisho mwema cku 1 wote tuimbe wimbo mmoja

ULIZA MDUDESOKA ็š„ๅคดๅƒ
ULIZA MDUDESOKA17 ๅคฉๅ‰

Asante kwa taarifa. Hizi mali za KIFASADI zote ni zakupiga moto. Choma choma. HUDUMA zote za KIJAMII MBOVU na CAG anasema pesa za halimashauri zote zinakusanywa halafu hazionenekani. Kuelekea mwaka mmoja wa Mauaji Oktoba 29. MASHUJAA DAY. #JusticeForMO29 #FreeTunduLissuNow

mimilicious๐ŸŒน๐Ÿ’ ็š„ๅคดๅƒ
mimilicious๐ŸŒน๐Ÿ’17 ๅคฉๅ‰

Tajiri Yusuph Tosh ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ Humjui huyu

Mwinshehe ๐Ÿ•Š๏ธ ็š„ๅคดๅƒ
Mwinshehe ๐Ÿ•Š๏ธ17 ๅคฉๅ‰

Pesa kitambo huyu

THE LIFE OF MAJANI004 ็š„ๅคดๅƒ
THE LIFE OF MAJANI00417 ๅคฉๅ‰

Tosh cargo huyo?

Mahamud Mgunda ็š„ๅคดๅƒ
Mahamud Mgunda17 ๅคฉๅ‰

Acha kupotosha uyo kabla ya udiwani alikuwa na Mali zake

Saumu Yanga ็š„ๅคดๅƒ
Saumu Yanga17 ๅคฉๅ‰

Hizi hela amepata before kua diwani lkn

IGWETHELION๐Ÿฆ ็š„ๅคดๅƒ
IGWETHELION๐Ÿฆ16 ๅคฉๅ‰

Huyu jamaa ni tajiri kabla ya kuwa diwani anamiliki cargo na pia ametoka kwenye familia ya kitajiri ndugu zake waarabu wanaishi oman..anaitwa tosh Masele ndiyo tajiri LA msasani mwisho

E=mcยฒ ็š„ๅคดๅƒ
E=mcยฒ17 ๅคฉๅ‰

Daah tunapigwa wazee

ZYNVO ็š„ๅคดๅƒ
ZYNVO17 ๅคฉๅ‰

Kemea iyo ROHO ya umasikini Inayo kutawala

Mastermind ็š„ๅคดๅƒ
Mastermind16 ๅคฉๅ‰

Ushoga ni mwingi sana na ndio mnakuwaga kama hivi

Iammoshyn ็š„ๅคดๅƒ
Iammoshyn17 ๅคฉๅ‰

Huyo ni Don Kitambo Sio pesa za Udiwani.

Rama Mobile Hub ็š„ๅคดๅƒ
Rama Mobile Hub17 ๅคฉๅ‰

Duuuh

Msingidani ็š„ๅคดๅƒ
Msingidani16 ๅคฉๅ‰

Kumbe udiwani unalipa hivi

tito Chungu ็š„ๅคดๅƒ
tito Chungu16 ๅคฉๅ‰

Afu wanaanza kuonawivu trekita la heche

Zant gar ็š„ๅคดๅƒ
Zant gar17 ๅคฉๅ‰

Kwani udiwani kaanza lini? Pesa zimeukuta udiwani au udiwani umezikuta hizo pesa?

dos ็š„ๅคดๅƒ
dos17 ๅคฉๅ‰

acha choyo kwa wenye hela ndugu

Jackson Njelu ็š„ๅคดๅƒ
Jackson Njelu17 ๅคฉๅ‰

Cy poa aiseee

Entruscan ็š„ๅคดๅƒ
Entruscan16 ๅคฉๅ‰

Acha roho ya kimasikini

Desmond ็š„ๅคดๅƒ
Desmond17 ๅคฉๅ‰

@kilepi_tweve Diwani ambaye tayari alikuwa fogo rekebisha apo

็›ธๅ…ณ่ง†้ข‘