Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Imebainika 😂 alijiteka mwenyewe
47,254 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
10 Kommentare

@Aduiwayanga @FatumaCute @mwanasheriaT Mbona hakuna recording ya Zembwela kuzaliwa? Mama ake angerekodiwa akiwa anajifungua ili tuamini kweli. Huyu jamaa amekuwa msenge msenge now

@Aduiwayanga @FatumaCute @mwanasheriaT Nyie endeleeni kucheka ila muda si mrefu mta nyamaza

@Aduiwayanga @FatumaCute @mwanasheriaT Kwahiyo mtu ajiteke na kujiumiza vile?

@Aduiwayanga @FatumaCute @mwanasheriaT So kila kitu kirekodiwe right ??.. akitokea mtu anarekodi mara ooh baada ya kutoa msaada mnarekodi... sis wabongo wengi akil zetu hazipo sawa

@Aduiwayanga @FatumaCute @mwanasheriaT Mmm,ko hii ndo analysis ya hiki kipindi, kuhusiana na kutekwa kwa Nondo, yaani ili kusiwe na maswali juu ya tukio fulani basi lazima tuone clip zilizorekodiwa?, . Sasa naanza kuunganisha doti kati ya hii na ile ya kamanda, huenda hata hawa jamaa ni maadui wa usalama wa watu

@Aduiwayanga @FatumaCute @mwanasheriaT

@Aduiwayanga @FatumaCute @mwanasheriaT Mjingaaa sana

@Aduiwayanga @FatumaCute @mwanasheriaT Iko waziiiii ila aibuuu sana

@Aduiwayanga @FatumaCute @mwanasheriaT Ila wamecheza mchezo mchafu sana wa kujiteka

@Aduiwayanga @FatumaCute @mwanasheriaT 😅Abdul Nondo 😁
