正在加载视频...

视频加载失败

63,496 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

SPOTTED HYENAS🦊 的头像
SPOTTED HYENAS🦊1 年前

Nikichokua nasema ni hivi kama vipi huyu Mbowe si na waty wake si waondoke kwa pamoja chama iitishe mkutano mkuu na kufanyike uchaguzi wa haraka ili kuziba nafasi za hawa washenzi wanaoondoka, hii dizaini ya kuondoka kimafungu kmmke inakata stim sana, vinyongo kama wanawake shenz

Denice Tumaini (LA) 的头像
Denice Tumaini (LA)1 年前

Hivi Kilatu ndio alikuwa Lawyer wa COVID19 eeh?

M A G I R I 的头像
M A G I R I1 年前

Sio alikuwa, ni wakili wao hadi sasa.

Solar Heavy 的头像
Solar Heavy1 年前

- The Kingdom

Ng'engeri 的头像
Ng'engeri1 年前

Ni kweli inashangaza kuwa loyalities wa Mbowe wanaondoka huku amekaa kimya, kama viongozi wapya akina Lissu na Heche wanakosea awe wa kwanza kuwakosoa na kuwashauri. Nitasikitika Mbowe akiondoka Chadema, chama ambacho amekijenga kwa zaidi ya miaka 30.

Bwoma Jr 的头像
Bwoma Jr1 年前

Jamaa kaongea vizuri sana

Sir chandafa 的头像
Sir chandafa1 年前

Kama ni hivo basi mbowe ni mtu mbaya Sana, yule baba, is a silent killer mungu tu amuendelee kumtunza but what is going on in chadema now is not a good thing

ASSEY. 的头像
ASSEY.1 年前

Ameeleweka vizuri sana.

Pop 的头像
Pop1 年前

Uchaguzi uliisha, kinachopingwa ni mechanisms za NRNE... Usiamini watu wenye vipara masta

Gemini♊️♊️ 的头像
Gemini♊️♊️1 年前

Stupid mindset argument, akiongea watakuja na arguments kuwa anamwingilia TAL ambaye ni mrithi wake, kukaa kwake kimya is the best weaponry instruments against those stupid stories like this 💯💯

robiramo 的头像
robiramo1 年前

Watu ni wafuasi wa watu na sio wafuasi wa itikadi nimeibeba hiyo

相关视频