正在加载视频...

视频加载失败

73,433 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

10 条评论

Latto 𝕏 的头像
Latto 𝕏1 年前

Hamna video inayosikitisha kama hii.. Ama kweli hujafa hujaumbika!! Kweli tunalipa kodi zetu, then tunakuja kuwekwa kwenye Buti la Deffender tukiumwa!! Daah!! Video kwa Comments👇

Sir Juliojr 的头像
Sir Juliojr1 年前

Dah! Kijana ameenda kujitafutia Labda abadilishe Historia ya Nyumbani kwao, Lakini dah😥😥 Mungu tufundishe kuhesabu siku zetu

armando24 的头像
armando241 年前

Sisi wananchi tunamtaka uyu mkandalasi wa ili jengo....pamoja na mthibiti viwango waje tunashida nao

Dr. Emmanuel Lusomi 的头像
Dr. Emmanuel Lusomi1 年前

Elimu ya ukoaji bado iko chini , mtu aliyeangukiwa na kifusi anabebagwa ivyo???* Haraka ilikuwa ya nini??

🏝 Junior _ Jextra🏅 的头像
🏝 Junior _ Jextra🏅1 年前

Si mgonjwa huyo. Tazama. Amefunikwa jeraha. Kichwani tayar. Marehemu💔.. BONGO UZEMBE UNATUKOSTI #PREYFORKARIAKOO💔🙏

Malalo Adam 的头像
Malalo Adam1 年前

Jamàa hapo juu analia Kwa uchungu sana,inaumiza walah 😭

Mwesiga Credius 的头像
Mwesiga Credius1 年前

Daaah 😢😢😢

mgking 的头像
mgking1 年前

Hata uwanjani kuna machela ( stretchers) niani njema ya kuokoa, lakini style hii ni rahisi kuongeza madhara kwa muathirika. Serikali iboreshe kitengo cha uokoaji. Hawa ndio wanaotakiwa kua na utayari muda wote kwa kuwezeshwa vifaa miundo mbinu.

Jumaa Zodo 的头像
Jumaa Zodo1 年前

Kwa miundombinu ya kkoo inahitajika ambulance zaidi ya 20 kwa kufanikisha hilo je zipo kumbuka foleni za dar pili eneo husika kikubwa uharaka wakumpeleka majeruhi na hilo si tamasha ni dharula imetokea chochote kinatumika mzee

Daniel Lameck 的头像
Daniel Lameck1 年前

Cha kwanza ni ufike hospital kaka unajua wakati wa viti kila silaha inayofaa inatumiwa ...Spain juzi wananchi waliamua kuzoa tope wenyewe

相关视频