Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Interview ya Seba ya nyuma kidogo
94,549 Aufrufe • vor 3 Tagen •via X (Twitter)
29 Kommentare

Tangu hii interview niliona hayupo sawa upstairs.

Mbona kama huruma kapata malezi 😂

Firigisi Haina mchanga

Design kama Diara katoka golini

Zenge halina nondo

Choko ilo

Ukianza kudhaniwa tu kwenye hizi mbanga, we siyo salama. Real gentleman yuko mbali sana na kudhaniwa ushoga.

Chris haina brown

Dah watu wafikinyu

Pombe Hayo ni madhara ya Pombe sio ushoga

Bongo tuna movie ya 86?😃😃😅

Mbona kama anatamani agonge mkono 😄

I'm not here to judge those who drink, but ukiweza kujihepusha na pombe just do it. OVER

Dah 💔

Mbn kama MisukoSuko haina J Blasi

Beki zimeenda kushambulia nn

Manchester haina City na United

Iphone Haina Icloud

Samia kavua ushungi nyonyo nje nje. Hamnamo mtu humo

Kariakooo haina winga

Mbona kama The Great hana Kanumba

Range haina rover

Maulidi Hana kitenge

Cho bwedo isha kua beki mda huu winga imekata puling🤣🤣🤣

Wameshavunja marinda tayar ila waungwana

Huyu Seba ni kabila gani?

Duh sijui kama ulinzi shirikishi upo

Aiseee ni uchawi ama?

Huyu hayupo sawa
