正在加载视频...

视频加载失败

Ipi 🐐 yako kati ya hizi?

38,381 次观看 • 2 年前 •via X (Twitter)

10 条评论

mkapa 的头像
mkapa2 年前

Iconic sio wimbo maalum kwa ajili ya FIFA worl cup ulikuwa ni wimbo wa coca-cola celebration ambao walikuwa ni wadhaminj wa world cup wakati ule,but wimbo wa fifa world cup ulikuwa ni Masterpiece au wakawaka wa Shakira

MARTIN MARTIAL 的头像
MARTIN MARTIAL2 年前

World cup ya S.A kwangu mm ndio wc yangu bora hasa sabb za nje ya uwanja,ukija kwenue hizi ngoma ndio wc yenye ngoma kali, waka waka,wavin flag na nyinginezo nyingi mwaka ule🔥🔥🔥

henry pessa 的头像
henry pessa2 年前

Wavin' Flag haikuwa nyimbo maalum kwa ajiri ya FIFA 2010. Kuiweka hapo sio sawa.

Joseph Middle 的头像
Joseph Middle2 年前

Iconic,Masterpiece🔥🔥🔥🔥

BACK BENCHA 的头像
BACK BENCHA2 年前

Iconic best of all the time ikifata masterpiece

TheProtégéTZ 的头像
TheProtégéTZ2 年前

Mm kwqngu ya Shakira inaanza

Sultan Leguna🇧🇷 的头像
Sultan Leguna🇧🇷2 年前

Master piece na iconic ni balaa

888 的头像
8882 年前

Iconic

songeaboy 的头像
songeaboy2 年前

Iconic

Sam Madax 的头像
Sam Madax2 年前

Waving Flag - Iconic 🔥🔥🔥

相关视频