ISSA CHOLE MIDFIELD (CM /DM)
@scout_viral3019 Follower
66.505 Aufrufe
17 Kommentare
Kommentare aus dem Originalbeitrag auf X (Twitter)

@mee_nicodemus
@hilary_js Baller👏🏼
3 Likes

@scout_viral
@hilary_js 🔥🙌🏽
1 Like

@CentListen
Huyu ni SergioʻBosquet mtupu
3 Likes

@scout_viral
Regista mzuri sana

@365robo2
Analima mpira 🔥🔥🔥🔥
1 Like

@scout_viral
🙌🏽🙌🏽🔥

@emmanuelc702
pure talent
1 Like

@scout_viral
🔥🔥
1 Like

@mustaphakinkula
Dogo anaubonda vibaya mnoo
1 Like

@scout_viral
Sana

@mustaphakinkula
Ukimuangalia muda ote anafika kwenye matukio kwa wakati ,naama yake yupo Active muda ote.
1 Like

@scout_viral
Huyu anamnyima namba mtu anaitwa Likungilo nae anaujua sana wanacheza same position
1 Like

@mustaphakinkula
Sasa kama tungekuwa serious na mpira hawa vijana ndio wangecheza under 20 yaani asitoke hata mmoja, Baada ya mashindano watafutiwe vituo Ulaya wakae huko.
2 Likes

@FrankFedric
Huyu akabidhiwe stive barker mapema sana…anawaweza hawa
1 Like

@scout_viral
Mchezaji wa fountain gate FC Makao ni mgumu sana kwenye biashara
2 Likes

@JoelMsuha
@canivo_
1 Like

@AbdallaShaally
Hodar