Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
It is what it is #NRNE
39,879 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 21

mimi nimempa jina jipya anaitwa "slaveman" na siyo Freeman! ametekwa na fedha na wenye mamlaka!

Hahaha that's the real ..No Reforms No Election

Halafu Huyu Machame Sio Mstaafu Huyu Ana Sifa hizo za UStaafu Huyu Alishindwa Uchaguzi WaStaafu Wapo Ukimwita Jk MStaafu hao Sawa Sio Yule Huyu Mtu Alietaka Kuwa Mwenyekiti Wa Milele Huyu Alipigwa na Kitu Kizito na Lissu Tunaomba Hilo Neno MStaafu Lisitumike Vibaya huyu Mhuni

Jamaa mbona anapiga chini ya kidevu 🤣🤣

Wakisema "MWENYEKITI ALIYEMALIZA MUDA WAKE" its like kuna term limit. Huyu siyo mstaafu BALI ALISHINDWA UCHAGUZI. INAPASWA ISEMWE HIVI "MWENYEKITI ALIYESHINDWA UCHAGUZI WAKATI AKITETEA NAFASI YAKE"

Jamaa kamkaanga Mbowe 😁😁😁

Hapa napingana na huyo Jamaa Sio kila mwanachama wa CHADEMA ni lazima akubaliane na kila msimamo wa CHADEMA...

@HecheJohn Bwai bwai

Shubaamiti 😂😂😂 #NoReformsNoElection

Democracy ni mavi kweli Lol

Uelewa wa watanzania ni mdogo. Khan ametembea KI hisia badala ya weledi, Sio kila mwanachadema anakubaliana na msimamo wa chama, Ndio maana ulichukua mfano nchi zilizoendelea ni kawaida kukuta seneta wa republican anakataa msimamo wa serikali ya chama chake.

HI ime enda huyu malaya wetu wa siasa afungashe vilago aende huku ubwabwa asijizuge kama yupo Cdm tumesha mgundua kitambo ni tapeli mstaarabu wa viin macho

MCHAGA 🤔

Sio mstaafu ni wazamani.

Safi sana #NoReformNoElection

Mbowe ni tapeli

😂😂

Licha ya kuwa ni msimamo wenu lakini wanachama wengine hawasaport hiyo movement kwa namna mlivoiendea.

Slaveman ni tatizo pesa yeye ndio kipaumbele chake

Hakika

Dalali la michongo east africa
