Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
It seems like referee Abdi Wajihi would only issue a card if presented with a death certificate.
27,903 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
10 Kommentare

Mpira ungenishinda kwa mengi sana..hapo nisingeenda kumshika tu shingo. Umenielewa.

Mpira ulinishinda form three, refa alikuwa hatembei na mpira. Amesimama kati na kupiga firimbi hata kama mpira haujatoka. Nikamfokea, akanilima njano, dakika chache baadaye mpira huajatoka akapuliza tena kona nikamuambia acha ujinga akanitoa nje kabisa na mechi ikavunjika hapo.

Seif Karihe is a pro assassin

Nchi ina viongozi, marefa hadi mashabiki wa hovyo wa mpira

Hii ingekuwa against Kolo zingetoka red cards kwa mikono miwili! Au angekuwa ni Aucho angekula red card na kufunguwa na bodi ya ligi + fine ya 5M😂

Nadhan hakuon km jamaa kamkanyaga mkono ndio maana hajatoa card

Straight red card!

Marefa wetu

😂😂😂

kuna watu wana roho nyeupe sana 😂

