Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Jamaa katulipia Deni 😀😀

56,070 views • 1 year ago •via X (Twitter)

11 Comments

Myunani's profile picture
Myunani1 year ago

Jamaa kashatulipia Deni kilichobaki ni wewe kuwa na bando tuu!!

Solar Heavy's profile picture
Solar Heavy1 year ago

- Come Around

Latino mafia's profile picture
Latino mafia1 year ago

Yaani mwanamke anaweza ata akawa alimpa mchizi ata ten tu kwenye kuunga unga ila mwanamke anahesabu kuwa kamsomesha tuogope hela za wanawake

HR MJELWA's profile picture
HR MJELWA1 year ago

Ukisikiliza maelezo ya jamaa utagundua mwanamke ndo mwenye shida

EricK 🇹🇿's profile picture
EricK 🇹🇿1 year ago

“Kwa kupigwa kwake sisi sote tumepona” sema AMEN!!!

Myunani's profile picture
Myunani1 year ago

Amen kaka

●MTaalam wa Izi Kazi🦺🇹🇿's profile picture
●MTaalam wa Izi Kazi🦺🇹🇿1 year ago

Anasema kamsomesha ukute kuna siku mchizi alipungukiwa hata 50k akampa basi anasema kamsomesha wanawake ni wa ajabu sana anaonekana tu hana hela hiyo hela ya kusomesha mwanaume anaitoa wapi nakataa🚮

Wamuhira's profile picture
Wamuhira1 year ago

Unaweza kuta alimpa tu elfu50 ya matumizi ndio anasema kamsomesha😂😂😂😂

ToneNimo's profile picture
ToneNimo1 year ago

Kama una sikio zuri na zima kabisa ukiwaskiliza wote wawili utajua kwamba dada hasemi uongo hata kidogo. Jamaa anajaribu kukwepesha mambo kwa kile ambacho wanaume wengi tunahofia (aibu) kwa jamii lakini dada anazungumza dhati ya moyo. 😅

Shaüri Jr🦂's profile picture
Shaüri Jr🦂1 year ago

Mwenye # Za Mwana Atume Nimpe Chochote Kitu🤣🤣🤣

MWENYEJI WA NJOMBE's profile picture
MWENYEJI WA NJOMBE1 year ago

Kwa Ujasili Mkubwa Tumepataa Mwanetu wa Damu Damu

Related Videos