Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
📍 Jamaa ni mkazi wa Iyunga - Mbeya.
10 Yorum

Dr. Chris2 yıl önce
Mwamba ametoa mahubiri bila sadaka😃

∆bby Mêxæhnk Msangi2 yıl önce
Hahaha ametisha sana

Jalilu Zaid2 yıl önce
😂Noma

Caryn Khan2 yıl önce
Kiongozi badilika 😂

Lolo☘2 yıl önce
Saivi watu wengi wanapeleka watoto kwa bibi sio kitu kibaya sana, lakini bibi anatakiwa apumzike nae ashalea wewe tena mjukuu🤣🤣🤣. Tubadilike

Presenter Noah2 yıl önce
Madini tu.

Abdoulbora🦅2 yıl önce
Sema linaongea point hili jamaa

BENSON NGALA2 yıl önce
Jamaa ni muongeaji Sana anaitwa sauli afu shabiki lialia wa simba

BIN RAMAER2 yıl önce
Watu wa mbeya maisha yetu kama utani ila ndo tuko live

Charles pikel monginda2 yıl önce
Mwanangu hawez kaa kwa bib Ake as long as naishi duniani Holiday atakwenda kusalimia n lazm lakn malez yote atapata kwangu
