Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

Je ungefanya nini??

34,733 görüntüleme • 2 yıl önce •via X (Twitter)

10 Yorum

Luhanga, A. L. (The blaster). profil fotoğrafı
Luhanga, A. L. (The blaster).2 yıl önce

Mzee ngumu kumeza hiyo, ila m nauchuna tu. Unaweza kumwambia halafu wakasolve issue wakapatana inabaki aibu kwako, unaweza usiseme halafu rafiki yako akaangamia

TricyLove🦁 profil fotoğrafı
TricyLove🦁2 yıl önce

Mayra huongeaga vizuri

Mwafalo lyungu profil fotoğrafı
Mwafalo lyungu2 yıl önce

Mm nabutua mpila namchana asije nilaumu badae

𓏤𓏤𓇌 Daijō 𓀷𓋘𓋙𓁿𓂀 Daijin 🌌 𓁿𓋙 profil fotoğrafı
𓏤𓏤𓇌 Daijō 𓀷𓋘𓋙𓁿𓂀 Daijin 🌌 𓁿𓋙2 yıl önce

kama ni msela wangu kabisa nampigia video call na namwambia huyo demu sio. ila mwanamke akimuona shemeji yake anacheat anatakiwa akae kimya tuu asilete umbea

Who is this guy? profil fotoğrafı
Who is this guy?2 yıl önce

Nawapiga picha au video then nampelekea mwana ili nisijielezee maneno mengi. Short and clear

Frida profil fotoğrafı
Frida2 yıl önce

Watajuana wenyewe huko ndani ya ndoa.Kwanza unaweza ukasema na ndoa ikafungwa na ukaonekana snitch unataka kuwaharibia harusi yao

oklamaCFC profil fotoğrafı
oklamaCFC2 yıl önce

Kwa SISI wanaumeee tutamwambiaaa awe makini

mnyantuzu profil fotoğrafı
mnyantuzu2 yıl önce

Sema kifua sina kinaweza pasuka kwa kutunza siri za watu

sisy Cherry😍 profil fotoğrafı
sisy Cherry😍2 yıl önce

Haya si ni mambo ya kawaida tu jmn me napitisha ndoa watakutana nayo uko ndoani 😆

blessedchristian profil fotoğrafı
blessedchristian2 yıl önce

Mbaya ni kwamba unaenda kumwambia anakujibu hayo yote nayajua fuata mambo yako 🤭

Benzer Videolar