正在加载视频...

视频加载失败

Jengo ni la zamani.....

57,948 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

Latto 𝕏 的头像
Latto 𝕏1 年前

Bhana bhana!! Kumbe Mwenye Jengo liliporomoka Kariakoo alikuwa Anachimba Chini kuongeza Frem za chini ndani Ya jengo 😭😭🙌 Aloooo... Jamani wanyenyumba acheni tamaa, mnaumiza watu wengine sasa Msikilize huyu dada akielezea... Video kwa Comments👇

Latto 𝕏 的头像
Latto 𝕏1 年前

#Wadhamini Kamata Airtel 5G Router buree leo na uenjoy internet yenye kasi zaidii bila kikomo mwezi mzima. Lipia 110k kwa mwezi mmoja kisha miezi mingine yote 70k. Bonyeza hapa kuwasiliana nasi whatsapp 👇 Tamba Na Airtel 5G.

Latto 𝕏 的头像
Latto 𝕏1 年前

Mwengine huyu hapa akielezea...

Mmongori96 的头像
Mmongori961 年前

Huyo Mwandishi wa habari Kama msenge anaulizia mizigo baada aulize vitu vya umuhim

T J 的头像
T J1 年前

Unahoji watu alafu maiki unabaki nayo TBC kichefuchefu

MaxDrive 的头像
MaxDrive1 年前

Nafikiria kuhusu kibali cha ujenzi, kama kilitolewa au laah, kama kilitolewa hao waliotoa wakamatwe, engineer akamatwe na huyo mwenye ghorofa

Zwangendaba🇬🇵 的头像
Zwangendaba🇬🇵1 年前

Huyu mwandishi kichwani hamna kitu

Ndera Shem 的头像
Ndera Shem1 年前

Kesho nipo Dar nina hamu ya mkandarasi

Lingz 的头像
Lingz1 年前

@celestine_mat

Samweli Willson 的头像
Samweli Willson1 年前

🥺

John Swai 的头像
John Swai1 年前

Huyo mwenye jengo ataozea jera pia alietoa kibali atanyoshwa pumbavuu zao

相关视频