Sensitive content

This media may contain sensitive content.

Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

#jennypopach Poledancing

45,373 просмотров • 6 месяцев назад •via X (Twitter)

Комментарии: 0

Нет доступных комментариев

Здесь появятся комментарии из оригинального поста

Похожие видео

Wimbi la huzuni lililolikumba Jiji la Iringa kufuatia janga la moto katika Soko la Mashine Tatu limeanza kugeuka kuwa fursa mpya ya matumaini Ambapo Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Salim Abri Asas, ametangaza mpango wa kujengwa kwa Machinga Complex kubwa itakayowezesha wafanyabiashara Zaidi ya 10000 wadogo na wa kati kufanya shughuli zao kwa mazingira bora na salama zaidi. Akizungumza leo pindi alipotembelea eneo la tukio kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi, Asas alisema kuwa janga hilo limewaumiza , na kuwaliza wengi hasa waliokuwa wamewekeza kupitia mikopo na Alisisitiza kuwa suluhisho la zuri ambalo Chama cha Mapinduzi , Serikali na Wadau wengine walilolitoa ni kuanza kujengwa kwa Machinga Complex eneo la Stand ya Zamani ambapo itachukua wafanyabiashara wa chini na wakati zaidi ya 10000. “Chama cha mapinduzi kilipeleka wasilisho , miezi miwili iliyopita Manispaa ya Iringa ya kwanini kusijengwe machinga complex kwa wafanyabiashara wa kati na wa chini katika eneo la stand ya zamani na tayari pendekezo la kujenga complex hii katika eneo la stendi ya zamani limeshafanyika na michoro iko mbioni kukamilika. Itakuwa na uwezo wa kuwahudumia zaidi ya machinga 1,000,” alisema Asas Ujenzi wa Machinga Complex ni mwanzo mpya wa mabadiliko ya muonekano wa Manispaa ya Iringa na hadhi ya wafanyabiashara wake na CCM imesisitiza kuwa itasimama pamoja na wananchi kuhakikisha mabadiliko haya yanatimia kwa vitendo. #MillardAyoUPDATES

millardayo

32,748 просмотров • 11 месяцев назад