Loading video...
Video Failed to Load
Jeshi la Polisi...
35,462 views • 1 year ago •via X (Twitter)
7 Comments

Latto 𝕏1 year ago
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar Es Salaam Atoa Taarifa ya kukamatwa kwa Joyce Mbaga, Almaaruf Nicole kwa Tuhuma za Utapeli Habari kamili... Video kwa Comments 👇

Latto 𝕏1 year ago
Hivi Sikuwawekea Bonus Video 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Solar Heavy1 year ago
- Miami

Nembo1 year ago
Watanzania wanapenda easy money

thatboydonnie1 year ago
Dunia ina siri jmn😮 kumbe nicole ni joyce 😀😀

Dy1 year ago
Kwahiyo anaenda kunyea debe mzigo wote ule da ? Vijana wasicheze na dada wa taifa kabisa

BORA KAFA aka BOB MAZISHI.1 year ago
Tena polisi wamesahau makosa km kuunda genge la uhalifu, kusajili line zaidi ya mmoja kwenye mitandao mmoja, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha.
