Loading video...
Video Failed to Load
Jide na Prof..
23,146 views • 1 year ago •via X (Twitter)
10 Comments

Latto 𝕏1 year ago
Jana, Kulikuwa na Show ya Bongo Flavour Honours.... Ambapo Queen wa Bongo Flavour... Alikonga nyoyo za watu wengi, kwa perfomance yake matata sana!! Huyu kweli anastahili kuitwa Queen wa Bongo Flavor and Perfomance... Angalia ilivyokuwa.... Videos kwa Comments👇

Latto 𝕏1 year ago
Say kwagala...

Latto 𝕏1 year ago
Jide na AY

Latto 𝕏1 year ago
Kweli hukumbuki...

Latto 𝕏1 year ago
Cheki Audience wanavyoitikia .... Yoooo 🔥🔥🔥

Latto 𝕏1 year ago
Jide na Sugu...

Meek Dee🏴☠️1 year ago
aseee kama huamin kama Mungu bado yupo ukicheki life aliyopitia Prof Jay ndo utapata kuelewa

Muhanila1 year ago
Daaah...Mungu amjaalie afya njema Proffesa

Hollon 🌞1 year ago
🥹nyie! nyie ! ❤️🔥🙌🏽

Sir Isa Jnr1 year ago
Keangu profesa ndo King of Hip Hop huyu jamaa alijua kunyoosha si mchezo
