Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
JKT kuna raha yake bana 😂
68,712 просмотров • 2 лет назад •via X (Twitter)
Комментарии: 10

i am Mzalendo🇹🇿2 лет назад
Sema huyo mwenye mwili mdogo anaonekana ni dancer

Bixen2 лет назад
Kinoma

Gubuka2 лет назад
Baadae wanabaka watoto wetu shezi kabisa

Baba Brian✍️⚽2 лет назад
Hawa walikuwa kitengo cha Bustani,watu wa kwata nguvu za kucheza Comasava unazipatia wapi😂😂😂

Futbal Planet ✴️2 лет назад
Huku ni balaa

tofoMaster2 лет назад
kitambo sana; 843 KJ!

Donny2 лет назад
Raha ya Jkt udoji ukamatwe upigwe doso😁😁

KINGPIN JOHN DOE 🇨🇴🇺🇸2 лет назад
Sad enough wakitoka hapo wanaenda kuwa Suma jkt.

Major⚽2 лет назад
Kuna mwana hapo anajiona yeye ndio nasibu Abdul kabisa

Bandura2 лет назад
Hadi raha! Lakini kuna afande hapo yaani ni iyobo mtupu🙌😂
