正在加载视频...

视频加载失败

JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI 🔥🙌

99,002 次观看 • 2 个月前 •via X (Twitter)

25 条评论

🇹🇿Haki Huinua Taifa 🦋 的头像
🇹🇿Haki Huinua Taifa 🦋2 个月前

Huyu ndo chanzo cha yote ya kupuuza sheria kutwekwa, kung'anga'nia madaraka, bunge la chama ki 1, kuharibu uhuru wa vyombo vya habari, kuua haki na uhuru uhuru wa kujieleza.. kutekwa na kupotea kulizidi kwa 160% kwa mujib wa takwimu na samia 245% ya utekaji wote tangu uhuru.

BekaBOY 0.2 的头像
BekaBOY 0.22 个月前

Hamna jitu TAPELI kama hili jamaa

TELAPATHIST 的头像
TELAPATHIST2 个月前

Alikuwa na maono Alifanya yakwake Alijenga mahakama kubwa dodoma Ili mwisho wa utawala wake aache katiba mpya, waliojuwa niwachache ndani ya mfumo wakawa wanafanya kumhujumu akiwa hajui na lawama alipewa yeye, Kosa lake nikufanya makubwa kwa siri ili akistaaf akumbukwe

NuniDuwe 💙❤️ 的头像
NuniDuwe 💙❤️2 个月前

Rais bora wa muda wote 🥹❤️

Iric 的头像
Iric2 个月前

He's basically huge part of the problem

Mesut Arteta 的头像
Mesut Arteta2 个月前

Tanzania ukijifanyisha kuongea emotionally unavuna watu wa kutosha. Huyu shetani si ndo founder wa huu ushenzi wote unaoendele? Msgufool was an evil ccccunt. Aendelee kufa huyu mzandiki

Willy H 的头像
Willy H2 个月前

Alikuwa mtu wa hovyo Sana ajabu, aliuwa watu wengi. He is the one who introduced abductions and killings, the country is still reeling and suffering heavily from his legacy

PaschalSam1 的头像
PaschalSam12 个月前

Kubwa sana hiii

@dahoudherman5 的头像
@dahoudherman52 个月前

Wapi uyu nae taperi tu

Four Cousins 的头像
Four Cousins2 个月前

Hakuwa malaika

John Kennedy 的头像
John Kennedy2 个月前

The current president is a very good student of Magufuli tyranical leadership and impunity.

Manya Safari 的头像
Manya Safari2 个月前

Mzee alikuwa ana zungumza kwa ukweli na haki

randallssc 的头像
randallssc2 个月前

Mzee alikua anawaza mbali sana mbele ya muda

Mr power plug 💪🏻 的头像
Mr power plug 💪🏻2 个月前

Na alipingwa

The hustler 的头像
The hustler2 个月前

Huyu alianzisha haya yote unayoona watu wanapigia kelele

bin Luc 的头像
bin Luc2 个月前

Alimnyima askari na akawaachilia wafungwa zaidi ya 2k

RAPHAELPHAUSTI8 的头像
RAPHAELPHAUSTI82 个月前

@BongeGody Atusamehe sana

Leonard Mutani 的头像
Leonard Mutani2 个月前

Yaani hapa kwenye replies sijaona realy avatar wengi ni fake hahaa 😂!.

Sylvester charles 的头像
Sylvester charles2 个月前

Oya ngiri mavinyeo naomba nitumie hii kule green app 0783879666

Bibi Kijana 的头像
Bibi Kijana2 个月前

Angebakwa mtoto wake angeachia wabakaji

Njeridoo 的头像
Njeridoo2 个月前

Me kiongozi hata afanye nini, ila.kama hajaona ubovu na udhaifu wa katiba hii sijui ya mwaka gani huko mimi kamwe simkubali. Unaweza sawa ukawa kiongozi mzalendo lakini je, ukiondoka una uhakika watakurithi wazalendo pia? 🤔

Patrick Kenya.🇰🇪 的头像
Patrick Kenya.🇰🇪2 个月前

He set the Pace and Tone for extra judicial killings in Tz. He provided the stage and room for the attempted assassination of Lissu. He passed the baton to a more pathological brute than him-Idi Amin Mama.

Dlenzley 的头像
Dlenzley2 个月前

Huyu aliambiwa maneno machache tuu Na TL alipigwa shambulizi hilo mpaka leo ni mlemavu liasi 16

B.M 的头像
B.M2 个月前

ALIHUJUMIWA

ARSENAL 的头像
ARSENAL2 个月前

They killed him🥹

相关视频