Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Jombaa kayatimba😀😀😂

20,925 просмотров • 2 лет назад •via X (Twitter)

Комментарии: 26

Фото профиля Life Of Salim
Life Of Salim2 лет назад

Ukikuta nyati kajitenga ujue huyo ni ametengwa na kundi lake kwasababu ya kuzeeka na hawezi tena kuisaidia jamii yake, hao wanakuwa na hasira sana

Фото профиля Christopher Lyatinga
Christopher Lyatinga2 лет назад

Hiii inaitwa ukisimama nchale ukikaa nchale

Фото профиля Pdizaina
Pdizaina2 лет назад

Aseee😂

Фото профиля BENNY UNITED 👹
BENNY UNITED 👹2 лет назад

Unaambiwa usiombe ukutane na nyati aliyejitenga peke yake..!

Фото профиля Speak it out daily 🔔🔔🔔😳😳
Speak it out daily 🔔🔔🔔😳😳2 лет назад

Kaona bora music wa nyuki ila siyo Nyati😂😂

Фото профиля 𝗡 𝗘 𝗚 𝗘 𝗟 𝗢🦁
𝗡 𝗘 𝗚 𝗘 𝗟 𝗢🦁2 лет назад

Ukisimama nchale, ukikaa nchale😂African Buffalo moja ya species iliyoua watu wengi zaidi kwenye Big 5

Фото профиля Dr. Lloyd. MD, MSc
Dr. Lloyd. MD, MSc2 лет назад

Ijumaa hiyo unaambiwa, kwa mkapa😂

Фото профиля Ismail Mimi
Ismail Mimi2 лет назад

Ukichimama nchale ukikaa nchale

Фото профиля Epa Mush
Epa Mush2 лет назад

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Hii inaitwa juu moto chini moto lzm ukae

Фото профиля Gabriel mo:
Gabriel mo:2 лет назад

@Osama_otero Mziki huu

Фото профиля Mnigajia
Mnigajia2 лет назад

Nyuki wamemfaidi bwana

Фото профиля shedmoss
shedmoss2 лет назад

Dadeq 😂😂

Фото профиля Msasani.
Msasani.2 лет назад

Achana na habari ya kifo kabisa..

Фото профиля FarhanJr
FarhanJr2 лет назад

Aiseeee

Фото профиля Kananga_foundation_tz
Kananga_foundation_tz2 лет назад

Kayatimba kweli kweli....hatarii

Фото профиля Marcus
Marcus2 лет назад

😂😂😂😂😂 @SkillzSensei

Фото профиля Wagner
Wagner2 лет назад

Sumu ya nyuki ni dawa hivyo huyo mwamba hataugua tena!!

Фото профиля بو سالم 🇹🇿
بو سالم 🇹🇿2 лет назад

Daadeki 😂😂, mwamba mother nature imemkataa, kala pembe saafi 😂

Фото профиля Ford
Ford2 лет назад

😂😂 daah

Фото профиля Joe Kanah
Joe Kanah2 лет назад

Video niyakutengeneza,matukio hayana uhusiano

Фото профиля Dealer
Dealer2 лет назад

Chai Moto Chuji Moto 🤣

Фото профиля ✖️
✖️2 лет назад

Next time Avae helmet

Фото профиля Ephy Young Graphics
Ephy Young Graphics2 лет назад

What's my name , Jombaaa

Фото профиля msangi Arsenal.mkiwa
msangi Arsenal.mkiwa2 лет назад

Kakutana na wananchi wenye hasira kali

Фото профиля Raphael Mheta
Raphael Mheta2 лет назад

😂😂😂😂😂

Фото профиля Mtumish✝️
Mtumish✝️2 лет назад

Uyo uyo uyoo...

Похожие видео