Loading video...
Video Failed to Load
Jose Mtambo.
155,366 views • 1 year ago •via X (Twitter)
11 Comments

Kwenye track ya Kaa Tayari alisema "natoa ngoma kali na viroba" Viroba vimemuelemea sasa 💔😅

I interviewed JD Martinez, one of the best hitters in baseball. He went from being cut by the worst team in baseball to becoming an All-Star – in an unconventional way (that everyone can learn from). Check out the interview here:

One of of the best rappers tumewah kua blessed! Yeye na Mabovu walikua na mabovu walikua na sound za kipekee!!!

Hajafikia pabaya sana Jos, sema huyo mwandish hajafanya jambo la mbolea kumhoji legend akiwa kalewa, have some respect to legends nyie media uchwara qmmk. Kiss fm enzi hizo lazima waanze na nyimbo ya hiyu jamaa ile mida ya saa 12 jion had saa 3

Alitupa kitu gold sana kwenye hii song - unaionaje

Pombe haijawahi kumpendeza mtu yeyote yule

Nimejisikia vibaya sana asee, huyu mwamba bado anaudai muziki.

Talanta ingine inapotea, hivi alipofika Jose hapa unamrudishaje? Ukiacha muziki mtaani kuna ndoto nyingi zinafia kwenye njia kama hizi suluhisho ni nini? Jose on his prime anaenda verse to verse na yoyote, kwenye bata boy aligusana mabega na Ngosha, Ngwea effortlessly 🙌

"Kipaji pekee hakitoshi kukufanya kuwa juu, ongeza bidii, ulinzi wa mpaji na nidhamu ya juu" QD tha Rappa.

Nipe basi hata namba yako Niahidi utakuja tena Bonge la demu what's your name Hivi nani kamuuzi huyu manzi mazee Nipe basi hata namba yako Niahidi utakuja tena Bonge la demu what's your name Hivi nani kamuuzi huyu manzi mazee Daahhh nimelia sana kmmke😭😭😭😭 what is wrong bro

The worse case ni hizi media pumbavu kwenda kuhoji ili mradi kuaibisha tu hawa wasanii.
