Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

Josephat kabla hajawa Gwajima. #Accountability

70,643 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)

10 Yorum

Nembo profil fotoğrafı
Nembo1 yıl önce

Hapa alipokuwa anatoa ahadi zake za ubunge

Mosereta profil fotoğrafı
Mosereta1 yıl önce

Haiwezi kuwa yetu sababu ile sio natural gas ni LPG( liquefied petroleum gas). Ila ni bora tukaikita katika kuzalisha natural gas ambayo ni bora katika usalama, tija na bei.

Mbuzi profil fotoğrafı
Mbuzi1 yıl önce

Aulizwe zile train alisema atawekeza toka Marekani ziko wapi.... ama wale wapiga kura wake aliowahaidi atawepeleka Bamingamu aliwapeleka.... Uongo uongo tu

SPOTTED HYENAS🦊 profil fotoğrafı
SPOTTED HYENAS🦊1 yıl önce

Leo baba gwajima kanifurahisha sana, hizi gesi tunapigwa sana sasa hivi, haikai wanapiga nyoka ndani hewa tupu halafu bei juu, na kwa sababu wameona ni biashara inayolipa Ndio mana hii mijitu mitajiri isioridhika kila mkina anaanzisha kampuni yake, ila fresh tuu

Maluka Khamis profil fotoğrafı
Maluka Khamis1 yıl önce

@nehemiah_masala Hivi ile Exchange Program ya watu wa Kawe na Birmingham ilifanyika kweli? 🤔

Mani Machuppa profil fotoğrafı
Mani Machuppa1 yıl önce

Amesahau labda mwalimu akumbushwe

Japhal japha profil fotoğrafı
Japhal japha1 yıl önce

Watapigana sana hawa wakikutana 😀😂

Shane McMahon profil fotoğrafı
Shane McMahon1 yıl önce

Vipi kuhusu kwenda Bahrmiam?

Shemtoijr profil fotoğrafı
Shemtoijr1 yıl önce

wakikutana hawa wote watashNgAA SANA wote hawana information😀😀😀

Being Blue profil fotoğrafı
Being Blue1 yıl önce

Zilongwa mbali zitendwa mbali

Benzer Videolar