Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Joslin alikuwa mnyama sana

593,118 просмотров • 3 лет назад •via X (Twitter)

Комментарии: 35

Фото профиля Daktari Wa Manesi 💉💊
Daktari Wa Manesi 💉💊3 лет назад

Madawa ya kulevya yana madhara makubwa sana kijamii, kiuchumi, kiafya na kiroho vijana tusijiingiza katika swala zima la utumiaji wa madawa ya kulevya. Ni hatari

Фото профиля M A G I R I
M A G I R I3 лет назад

Unga umepora future za vijana wengi

Фото профиля Kamala Dickson
Kamala Dickson3 лет назад

Mitaa ya Tabata kwa Bibi namuonaga Daz Mwalimu aisee amekata ringi uwozi amini kama aliimba nyimbo Nzuri tukafurai, Madawa ya kulevya na HIV zinaondoa manigga wengi

Фото профиля Pdizaina05
Pdizaina053 лет назад

Alikuwa na vunja yake flani hivi ya kipekee

Фото профиля SATIVA17
SATIVA173 лет назад

ukiondoa yote aliyoyapitia nimependa MENTALITY yake kuwa hajutii kwa lolote.

Фото профиля Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒
Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒3 лет назад

Mziki haukuwapa hela walizotarajia

Фото профиля Sam's.Big.Div
Sam's.Big.Div3 лет назад

Sorry kwa josline,mshikaji fulani,tanzania vitani,maisha na ngoma nyingi tulikuwa nazo mtaani sana.Ushauri kwa vijana wenzangu maisha yakienda kombo,rudi kwa mola wako then jitafute utajipata naye atakupa uwezo utasimama imara,tusikate tamaa mambo yakiharibika.

Фото профиля kamamaa
kamamaa3 лет назад

Madawa ya kulevya ni adui 🥺 hicho kijichawa pembeni kimevurugwa 😂

Фото профиля baloho
baloho3 лет назад

"Mi nakula perfume we hupaki" noma sana. Never thought jamaa amekuwa hivi; very sad.

Фото профиля riico
riico3 лет назад

I think we need to add madawa ya kulevya kwenye maadui wakubwa wa Taifa…yanaondoka na Nguvu kazi kubwa sana ya hili Taifa

Фото профиля 😶
😶3 лет назад

Anguko lako limeletwa na huyo chawa wako hapo pembeni

Фото профиля Hancy Machemba
Hancy Machemba3 лет назад

Joslin amefikia hapo aisee?😭😭😭 Halafu kuna mtu anaenjoy na kesho anashusha mzigo mwingine apige hela

Фото профиля Lukeshi
Lukeshi3 лет назад

Usela na kutamani umarekani mwingi mwisho huwa hivi au mbaya zaidi ya hivi. Acha mihadarati

Фото профиля Komu Printing
Komu Printing3 лет назад

Sugu ana project wale wasanii wa zamani wanapiga show kwanini asifanye project pia ya kuwasadiia hawa jamaa

Фото профиля Moyo
Moyo3 лет назад

Noma Noma ..Jamaa alikuwa MTUMISHI altareni hapo St. Peters enzi hizoo...

Фото профиля Mapung'o
Mapung'o3 лет назад

Kuna siku nilimuona Ma'kamua Mwanza kawa Chokoraa kabisa kakonda sana.🚶🚶😢

Фото профиля Eng.Straton Kagaruki
Eng.Straton Kagaruki3 лет назад

Kama tunavyokumbukaga nyimbo za kitambo inabidi tuwakumbuke na wasanii wa kitambo,wameathirika sana na madawa.

Фото профиля Elvis Audax
Elvis Audax3 лет назад

Dah @Onesmo_hanta mzee ile dhahabu na niite basi tunazila sana kmbe mwanetu yuko hv aseee

Фото профиля Mbagala boy
Mbagala boy3 лет назад

Halafu kuna Dullayo nae amechoka vibaya mno

Фото профиля Nonobanks ❤️
Nonobanks ❤️3 лет назад

niliqngalia hiki kipindi, jamaa ni mtu poa sana asee😢 huyo mwingine hapo juu😅🙌🏻

Фото профиля GozoNenga
GozoNenga3 лет назад

Ukitaka kumrudisha jose katka line basi ua huyo mtu pembeni apo

Фото профиля East Coast 19
East Coast 193 лет назад

yan sina chakusema nimeangalia hii video dah nimekubuka ile mikopo ya wasanii milion 30 dah wamepewa watu wasio stahiki

Фото профиля Dr.Julius AlmaS
Dr.Julius AlmaS3 лет назад

Imeniuma Sana kama mzazi na kama Kijana mwenzake inahuzunisha Sana Madawa Namna yanaharibu vijana wetu na kutajirisha wengine

Фото профиля Fungo Eward
Fungo Eward3 лет назад

Nan ananuuzia kete? Nan anamfanya avute? Ili tufanye mpango wabaya tukawakamate!

Фото профиля Sakila Samike
Sakila Samike3 лет назад

Hao waandishi nao hawana maadili tu...unamfanyia interview mtu ambaye unaona hayuko sawa kabisa...lengo ni kumfedhehesha ama??

Фото профиля Carol Ndosi
Carol Ndosi3 лет назад

This is really sad

Фото профиля 🏴‍☠️Muswahili
🏴‍☠️Muswahili3 лет назад

jaribuni vyoote ila heroin na cocaine usike jaribu kugusa kimbia kabsa na kama unarafika anamisha nazo mpotezee

Фото профиля Chibede
Chibede3 лет назад

kipindi iko nipo primary alikua msanii wangu Bora pamoja na kina noorah,ngwea na feruzi. Madj nilikua nawajua wawili tu Dj JD na Dj majah majeh ooh dj majizo fo shizo

Фото профиля Kelvin_Collins
Kelvin_Collins3 лет назад

Sijui kuhusu madawa lakini nikiangalia hii Clip huyu anakula sana vitu vikali

Фото профиля Dominick samba
Dominick samba3 лет назад

Huyo mpambe ndio anampoteza mwamba kumkoleza kama anapiga back vocals

Фото профиля BEDUI
BEDUI3 лет назад

I watched thi s over and ove and over again... Still cannot believe what I have seen Joslin... Daah Oyaa Tule Dona tu wanangu sembe Jau kmmmke😭😭

Фото профиля chabu
chabu3 лет назад

Goma lake bado tuna bang nalo kitaa afu kumbe mchizi kashalost iv dah, don’t mess up with Drugs mazee

Фото профиля Rasuly
Rasuly3 лет назад

Mdau alikuwa poa sana nakumbuka garyation ya form six wa mbele yetu 2005 minaki kipind ndo anawika na dude lake lile kali alafu umeme ukakata mshikaji akawa anashuka mistari mbele ya mesi chin ya muembe it was amazing sana. Ila dona sio ishu mazee

Фото профиля Papi Nyegere (KURJUAN FORMULA)🧔🏿‍♂️
Papi Nyegere (KURJUAN FORMULA)🧔🏿‍♂️3 лет назад

Kwan anakula unga?

Фото профиля Denis Paul_001
Denis Paul_0013 лет назад

Joslyn bonge la msanii wa kipindi chote,sema ndio hivyo makundi mabaya huaribu sana vijana...Fire starz wakae chini waliangalie hili

Похожие видео