Loading video...
Video Failed to Load
Joyce MBAGA.
95,739 views • 1 year ago •via X (Twitter)
9 Comments

𝓜𝓐𝓝 🗽1 year ago
Kuna mwana kasema sura kaivua counter kama tunavyovuaga mkanda 😀

Rahuuuum1 year ago
Waache kumrecord jamani inatosha 😢😢

Senior Bachelor1 year ago
Analazimisha kuonekena jasiri.Mahakama huwa hainaga haraka mdogo mdogo unaweza jikuta umekula nyundo 5😂😂😂

NotLikeUs1 year ago
She seems not to be okay.

Kenan1 year ago
Uzuri wa Kesi hizi za Malioni Gavoo haiwezi kukubali kukufunga wakati Hela unazo...Bora mgawane😊

Dorgu1 year ago
Nicole wa kwenye huba akikutana na huyu wanapigana 😅

Siiiiiiiiiuuuuuuuh!!! 👑1 year ago
Lazima apagawe 😁 Tatizo la watu maarufu wa tz wanahisigi wanalindwa na Sheria ata wakizinguwa 🚮 Apo iyo si mocking kbsa, kwamba I know what I am doing

Afya Kwanza1 year ago
Uzuri Atatoka Na Ataendelea Kuwapiga Wajinga

Ela Lemes1 year ago
Bado kazuri tu


