Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Jumapili kanisani kwetu!
58,491 Aufrufe • vor 10 Monaten •via X (Twitter)
31 Kommentare

karibu kanisani kwetu sasa 😁

1.Milele Amina wabarakatu 2 Inshallah, bwana apewe sifa 3.Jumapili maqubur Mubarak Hizi kauli zinanichekesha sana😂

Mandem rastafarai alhabib,,, tuitikie amen🥸🥸

Si wametaks kutuchanganya ngoja wachanganywe vizuri na hiyo ni dini mseto hawana kona ya kuchomoka😁😁

oyaaaa, ndugu zangu katika kristo, assalam aleikhum

Mnawachanganya watesi😂

Hii ndio Gen Z,hawana dini wala chama cha siasa

Milele amina wabarakatu

😂😂😂😂😂

🤣🤣wataniua hawa

Ila faza chapo we jau sana😂😂

@Mwinshehe07 Bange vijana wa ski hizi 😆😆😆

😂😂😂

Dah hii kali 🤣🤣🤣🤣🤣

🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hata walioanzisha agenda hawaamini kinachoendelea

Naam

Watesi wana changanyikiwa

Huyu kaka yake ringo??😁😁

Apa ni kudus na alhilal

😂😂😂

😂😂

Wanatuchanganya hawa 😂😂😂

😅sisi hatuna dini

🤣🤣🤣🤣

😂😂😂

Tukapate biriani ya mdudu sasa😁

😃😃😃

😃😃

Huyu sio @Addy_Adams kweli 😀

Daah.. 😂😅

😂😂😂
