Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Kabisa anaamini anadeserve all this 😂
1,475,651 просмотров • 3 лет назад •via X (Twitter)
Комментарии: 10

Mapenzi mnayawekea sheria kama utawala wa KIRUMI.. You choose your man, love him to earth and get down with the vibe.

Ni hadi mwanaume ndio awachague ndio tatizo. Na sio wengi wanachagua hii tabu

Kwahiyo that’s what her forehead store… 😂😂😂

All that forehead is full of this crap

Baadhi ya independent women huwa wanakuwa na fikra za kuwa wanaume wanataka tu pesa zao Ili kufanikiwa kumtongoza mwanamke mwenye kujitegemea, ni muhimu kuwa mtulivu kujaribu na kumfahamu vizuri kabla ya kufanya uamuzi wowote. hata ukimpata ishi nae kwa akili nyingi sana

Ukiona pesa zake zinahitaji uongeze akili sana jua unakosea kuoa mzee.

Mashangazi corparate kama hawa ndoa kwao sio kipaumbele mengi yanefocus kwenye career zao Ukilipata hakikisha lenyewe ndo linaingia kwenye mifumo yako sio wewe. Most of them washamaliza kila kitu katika haya maisha. Wana career ilokamilika, watoto, hela etc.

Rate yao wakifika 40 kuchoka careers ni kubwa pia.

Bullshit 🚮

With a pinch of horseshit
Похожие видео
Jamaa kashindwa kabisa Kutumia maneno makali na ya Direct.😂😂
𝐓𝐡𝐞 𝐇𝐢𝐦.
125,155 просмотров • 1 год назад
