正在加载视频...
视频加载失败
Kafukuzwaaa
34,219 次观看 • 16 天前 •via X (Twitter)
6 条评论

Abdul Salum16 天前
Rais akimtoa kafara Waziri Wake kwa Mzigo alioubeba mwenyewe na familia yake. Mtu mweusi?

GreatSeal16 天前
Nimekuja kujua watanzania IQ yetu iko chini saaana saaana

Michael16 天前
Tuletee clip ya prof Muhongo akijiuzuru. Ila mfumo dume? Hatari. Kikwete anamtoa kafara waziri wa ardhi katika suala la fedha?

Zanga zarara16 天前
Leo eti anajifanya kuwa mtu wa haki baada ya kukosa teuzi

Samwel_25516 天前
Ila viongozi bwana. Bado Mama T amesimama imara. Nasikia akiwagomea viongozi wote wa juu kujiuzulu huku Waziri wa Fedha Saada Mkuya na Msaidizi wake Nchemba wakiwa amelindwa

Bernard Elia16 天前
Ila viongozi bwana. Bado Mama T amesimama imara. Nasikia akiwagomea viongozi wote wa juu kujiuzulu huku Waziri wa Fedha Saada Mkuya na Msaidizi wake Nchemba wakiwa amelindwa