Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Kajuna 😂🔥🔥🔥🔥🔥genius
62,035 görüntüleme • 3 ay önce •via X (Twitter)
65 Yorum

Juzi bhna kwenye uni colleague show ya Charles mtasha kuna janja kashinda laptop anaitwa KAJUNA. Janja ni pre form 5,ni genius kweli kweli alikuja na hesabu yake 0÷0 =2 😂😂watu wengi walimbishia lakini janja aliprove na kuwaambia musikariri 🔥🔥 Video clip kwa chini hapo

Ana prove makorokocho huyo. In Maths,every number has a meaning. It is not just a number as it is. Otherwise anybody would have been twisting the numbers anyhow to prove a nonsense.

Aya

Kwenye “code” wana kitu kinaitwa Syntax error na semantics error Dogo amefanya Semantics errors

Mwana linguistics ndio ulichopata hiki 😂😂😂

@Pile_Driven Wana Linguistic tutainua mapanga 😂😂

@Pile_Driven Noma 😂

😂😂ujue haya mambo bana, show nzuri sana kdg inafanya vijana wawaze mambo ya maana ukiachana na upuuzi uliojaa mitandaoni siku hzi lkn huyo kijana alichokifanya hapo ni confidence na ujinga tu ,i like his reasoning though

Kabisa

Uyu pimbi ukute kafunzwa na dotto magari hii hesabu

😂😂😂

Any number divided by zero jibu ni INFINITY ♾️ and not zero Dogo anatuona kama matako nini ? Apo jibu la awali tu ni INFINITY na hesabu inaishia hapo hapo uwezi tena derive tena hapo 🚮

Dogo inaonekana hana hata idea ya hesabu 🚮

Nitapeli tuu

Janja janja

Shida alishakosea kwenye denominator

Kumbe

Tapeli hamna kitu apo

Kweli

Ka ignore na kuongopa principles nyingi sana hesabu hapo

Sahihi

@itcmzava

0/0 = 2?? Genius???

Ndio

Karbu mtaani..

😂😂

Ni kubaya kk 😄

Hamna kitu apo, hajacheza na BODMAS kazi kutapeli watu😂😂😂

@no_Icant_Let_Go huyu na fuge boy nani tapeli?

@no_Icant_Let_Go 😂😂😂😂

ujinga kasema 0 divide by 0 aprove kuanzia hapo hizo hesabu za kusema hiki na hiki ni kile kile ndo nn sasa

Ugaigai

😂

Huyu tutamchapa sasa

Tapeli 😂😂

Watu baada yaku muhlza grok ndio wana kuja na ya kwao dogo amna kitu apo amna genius apo kumbe kabla ata awa kumuhlza grok dogo alisha wa okota watu 😄😄

Aliokota wengi sana

Sana tuu 😄

@Your2qh Huyu anaonekana atakua winga machachari sanaaaa 😂😂😂

Kajuajii haka ni kapuuzii tu

Kwa wasiojua hesabu yuko sahihi

Naam

Sa tangu lini kwenye hesabu ukagawa namba kwa zero?

😂😂😂

Kuna jamaa Alishaifanya kitambo sana kameiga kanajikuta kajuaji

Kumbe

Labda kama sijui hesabu....ww umemuelewa huyo dogo

Wawapi huyu 😂😂😂

Bukoba hii 😂😂

kuna watu wameamini uongo huo??😂

Wengi tui

Amefanya usenge, calculator ingemwambia synthax error kupunguza ukali wa maneno.

sasa Hapo kuna maajabu gani, algebra ndio kitu cha kukushangaza?

Eeh bhna

mambo na calculus

@mreno255 Calculus gani hapo

@mreno255 hiyo yake bado sana ijawa advanced bado yupo kwenye stage ya algebra

Huyu dogo tapeli tu huyu

Amini bro 😂💪🏿

Difference of two squares applies for two different numbers I e a²-b² sio a²-a² hapo jibu ni sifuri

Baadae wanakuwa akina prof Lipumba

Kumbe

Atleast huyu anakuja na issues za kuwajenga vijana nje ya content za akili mfu👏👏👏👏👏Kijana akazane kusoma aje ajikosoe mwenyewe kwenye hii clip na atuombe samahani😃😃😃😃... usiache kujenga vijana katika mlengo huu... 👏👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏

Huyo akikuwa ndio anakuja kuwa km wale maprofessa wa CCM anakufanya unajiulza kwan u profesa aliupataje 😂😂

Hamna kitu apo
Benzer Videolar
Dem dey cook international artiste🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😂😂😂😂😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ray-Ankrah
85,694 görüntüleme • 1 ay önce
