Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Kajuna ๐๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅgenius
62,035 Aufrufe โข vor 3 Monaten โขvia X (Twitter)
65 Kommentare

Juzi bhna kwenye uni colleague show ya Charles mtasha kuna janja kashinda laptop anaitwa KAJUNA. Janja ni pre form 5,ni genius kweli kweli alikuja na hesabu yake 0รท0 =2 ๐๐watu wengi walimbishia lakini janja aliprove na kuwaambia musikariri ๐ฅ๐ฅ Video clip kwa chini hapo

Ana prove makorokocho huyo. In Maths,every number has a meaning. It is not just a number as it is. Otherwise anybody would have been twisting the numbers anyhow to prove a nonsense.

Aya

Kwenye โcodeโ wana kitu kinaitwa Syntax error na semantics error Dogo amefanya Semantics errors

Mwana linguistics ndio ulichopata hiki ๐๐๐

@Pile_Driven Wana Linguistic tutainua mapanga ๐๐

@Pile_Driven Noma ๐

๐๐ujue haya mambo bana, show nzuri sana kdg inafanya vijana wawaze mambo ya maana ukiachana na upuuzi uliojaa mitandaoni siku hzi lkn huyo kijana alichokifanya hapo ni confidence na ujinga tu ,i like his reasoning though

Kabisa

Uyu pimbi ukute kafunzwa na dotto magari hii hesabu

๐๐๐

Any number divided by zero jibu ni INFINITY โพ๏ธ and not zero Dogo anatuona kama matako nini ? Apo jibu la awali tu ni INFINITY na hesabu inaishia hapo hapo uwezi tena derive tena hapo ๐ฎ

Dogo inaonekana hana hata idea ya hesabu ๐ฎ

Nitapeli tuu

Janja janja

Shida alishakosea kwenye denominator

Kumbe

Tapeli hamna kitu apo

Kweli

Ka ignore na kuongopa principles nyingi sana hesabu hapo

Sahihi

@itcmzava

0/0 = 2?? Genius???

Ndio

Karbu mtaani..

๐๐

Ni kubaya kk ๐

Hamna kitu apo, hajacheza na BODMAS kazi kutapeli watu๐๐๐

@no_Icant_Let_Go huyu na fuge boy nani tapeli?

@no_Icant_Let_Go ๐๐๐๐

ujinga kasema 0 divide by 0 aprove kuanzia hapo hizo hesabu za kusema hiki na hiki ni kile kile ndo nn sasa

Ugaigai

๐

Huyu tutamchapa sasa

Tapeli ๐๐

Watu baada yaku muhlza grok ndio wana kuja na ya kwao dogo amna kitu apo amna genius apo kumbe kabla ata awa kumuhlza grok dogo alisha wa okota watu ๐๐

Aliokota wengi sana

Sana tuu ๐

@Your2qh Huyu anaonekana atakua winga machachari sanaaaa ๐๐๐

Kajuajii haka ni kapuuzii tu

Kwa wasiojua hesabu yuko sahihi

Naam

Sa tangu lini kwenye hesabu ukagawa namba kwa zero?

๐๐๐

Kuna jamaa Alishaifanya kitambo sana kameiga kanajikuta kajuaji

Kumbe

Labda kama sijui hesabu....ww umemuelewa huyo dogo

Wawapi huyu ๐๐๐

Bukoba hii ๐๐

kuna watu wameamini uongo huo??๐

Wengi tui

Amefanya usenge, calculator ingemwambia synthax error kupunguza ukali wa maneno.

sasa Hapo kuna maajabu gani, algebra ndio kitu cha kukushangaza?

Eeh bhna

mambo na calculus

@mreno255 Calculus gani hapo

@mreno255 hiyo yake bado sana ijawa advanced bado yupo kwenye stage ya algebra

Huyu dogo tapeli tu huyu

Amini bro ๐๐ช๐ฟ

Difference of two squares applies for two different numbers I e aยฒ-bยฒ sio aยฒ-aยฒ hapo jibu ni sifuri

Baadae wanakuwa akina prof Lipumba

Kumbe

Atleast huyu anakuja na issues za kuwajenga vijana nje ya content za akili mfu๐๐๐๐๐Kijana akazane kusoma aje ajikosoe mwenyewe kwenye hii clip na atuombe samahani๐๐๐๐... usiache kujenga vijana katika mlengo huu... ๐๐๐๐๐๐๐๐๐

Huyo akikuwa ndio anakuja kuwa km wale maprofessa wa CCM anakufanya unajiulza kwan u profesa aliupataje ๐๐

Hamna kitu apo
