Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Kajuna ๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅgenius

62,035 views โ€ข 4 months ago โ€ขvia X (Twitter)

65 Comments

MRENO_255's profile picture
MRENO_2554 months ago

Juzi bhna kwenye uni colleague show ya Charles mtasha kuna janja kashinda laptop anaitwa KAJUNA. Janja ni pre form 5,ni genius kweli kweli alikuja na hesabu yake 0รท0 =2 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚watu wengi walimbishia lakini janja aliprove na kuwaambia musikariri ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ Video clip kwa chini hapo

Mwesi's profile picture
Mwesi4 months ago

Ana prove makorokocho huyo. In Maths,every number has a meaning. It is not just a number as it is. Otherwise anybody would have been twisting the numbers anyhow to prove a nonsense.

MRENO_255's profile picture
MRENO_2554 months ago

Aya

Natureโ€™s Keeper's profile picture
Natureโ€™s Keeper4 months ago

Kwenye โ€œcodeโ€ wana kitu kinaitwa Syntax error na semantics error Dogo amefanya Semantics errors

MRENO_255's profile picture
MRENO_2554 months ago

Mwana linguistics ndio ulichopata hiki ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Brilliant Superfly's profile picture
Brilliant Superfly4 months ago

@Pile_Driven Wana Linguistic tutainua mapanga ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

MRENO_255's profile picture
MRENO_2553 months ago

@Pile_Driven Noma ๐Ÿ˜‚

iamMwaky's profile picture
iamMwaky3 months ago

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ujue haya mambo bana, show nzuri sana kdg inafanya vijana wawaze mambo ya maana ukiachana na upuuzi uliojaa mitandaoni siku hzi lkn huyo kijana alichokifanya hapo ni confidence na ujinga tu ,i like his reasoning though

MRENO_255's profile picture
MRENO_2553 months ago

Kabisa

Jay2014's profile picture
Jay20144 months ago

Uyu pimbi ukute kafunzwa na dotto magari hii hesabu

MRENO_255's profile picture
MRENO_2553 months ago

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Postigabundara ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท's profile picture
Postigabundara ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท4 months ago

Any number divided by zero jibu ni INFINITY โ™พ๏ธ and not zero Dogo anatuona kama matako nini ? Apo jibu la awali tu ni INFINITY na hesabu inaishia hapo hapo uwezi tena derive tena hapo ๐Ÿšฎ

Eng.Harrison HR's profile picture
Eng.Harrison HR3 months ago

Dogo inaonekana hana hata idea ya hesabu ๐Ÿšฎ

MRENO_255's profile picture
MRENO_2553 months ago

Nitapeli tuu

Eng.Harrison HR's profile picture
Eng.Harrison HR3 months ago

Janja janja

Pius Kawala's profile picture
Pius Kawala4 months ago

Shida alishakosea kwenye denominator

MRENO_255's profile picture
MRENO_2553 months ago

Kumbe

The Twilight ๐Ÿบ๐Ÿ‘ฝ๐Ÿ’Ž's profile picture
The Twilight ๐Ÿบ๐Ÿ‘ฝ๐Ÿ’Ž4 months ago

Tapeli hamna kitu apo

MRENO_255's profile picture
MRENO_2553 months ago

Kweli

Anuary julius's profile picture
Anuary julius3 months ago

Ka ignore na kuongopa principles nyingi sana hesabu hapo

MRENO_255's profile picture
MRENO_2553 months ago

Sahihi

Trica Online Store๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ's profile picture
Trica Online Store๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ4 months ago

@itcmzava

K.O.L.I, ๐“„ƒ's profile picture
K.O.L.I, ๐“„ƒ4 months ago

0/0 = 2?? Genius???

MRENO_255's profile picture
MRENO_2553 months ago

Ndio

Chris's profile picture
Chris4 months ago

Karbu mtaani..

MRENO_255's profile picture
MRENO_2554 months ago

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Chris's profile picture
Chris4 months ago

Ni kubaya kk ๐Ÿ˜„

C.F.C's profile picture
C.F.C3 months ago

Hamna kitu apo, hajacheza na BODMAS kazi kutapeli watu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

visit Mars's profile picture
visit Mars4 months ago

@no_Icant_Let_Go huyu na fuge boy nani tapeli?

MRENO_255's profile picture
MRENO_2553 months ago

@no_Icant_Let_Go ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Deosparta's profile picture
Deosparta4 months ago

ujinga kasema 0 divide by 0 aprove kuanzia hapo hizo hesabu za kusema hiki na hiki ni kile kile ndo nn sasa

The Mastermind's profile picture
The Mastermind3 months ago

Ugaigai

MRENO_255's profile picture
MRENO_2553 months ago

๐Ÿ˜‚

LOPERAMIDE๎จ€'s profile picture
LOPERAMIDE๎จ€4 months ago

Huyu tutamchapa sasa

MRENO_255's profile picture
MRENO_2553 months ago

Tapeli ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

ร˜BรŽลคร– ลฎฤŒHรŽฤ‚'s profile picture
ร˜BรŽลคร– ลฎฤŒHรŽฤ‚3 months ago

Watu baada yaku muhlza grok ndio wana kuja na ya kwao dogo amna kitu apo amna genius apo kumbe kabla ata awa kumuhlza grok dogo alisha wa okota watu ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

MRENO_255's profile picture
MRENO_2553 months ago

Aliokota wengi sana

ร˜BรŽลคร– ลฎฤŒHรŽฤ‚'s profile picture
ร˜BรŽลคร– ลฎฤŒHรŽฤ‚3 months ago

Sana tuu ๐Ÿ˜„

CadO's profile picture
CadO4 months ago

@Your2qh Huyu anaonekana atakua winga machachari sanaaaa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

H E R R Y ๐Ÿฆ‰'s profile picture
H E R R Y ๐Ÿฆ‰3 months ago

Kajuajii haka ni kapuuzii tu

OBBY's profile picture
OBBY3 months ago

Kwa wasiojua hesabu yuko sahihi

MRENO_255's profile picture
MRENO_2553 months ago

Naam

Antelm Barack's profile picture
Antelm Barack3 months ago

Sa tangu lini kwenye hesabu ukagawa namba kwa zero?

MRENO_255's profile picture
MRENO_2553 months ago

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

director leader's profile picture
director leader3 months ago

Kuna jamaa Alishaifanya kitambo sana kameiga kanajikuta kajuaji

MRENO_255's profile picture
MRENO_2553 months ago

Kumbe

PYTHON..'s profile picture
PYTHON..4 months ago

Labda kama sijui hesabu....ww umemuelewa huyo dogo

Ndola's profile picture
Ndola4 months ago

Wawapi huyu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

MRENO_255's profile picture
MRENO_2553 months ago

Bukoba hii ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

ionevencare๐Ÿฅทโ™Ÿ๏ธ's profile picture
ionevencare๐Ÿฅทโ™Ÿ๏ธ4 months ago

kuna watu wameamini uongo huo??๐Ÿ˜‚

MRENO_255's profile picture
MRENO_2553 months ago

Wengi tui

kvnst's profile picture
kvnst4 months ago

Amefanya usenge, calculator ingemwambia synthax error kupunguza ukali wa maneno.

Honourable speaker KILESI๐Ÿ•Š๏ธ's profile picture
Honourable speaker KILESI๐Ÿ•Š๏ธ4 months ago

sasa Hapo kuna maajabu gani, algebra ndio kitu cha kukushangaza?

MRENO_255's profile picture
MRENO_2554 months ago

Eeh bhna

Honourable speaker KILESI๐Ÿ•Š๏ธ's profile picture
Honourable speaker KILESI๐Ÿ•Š๏ธ4 months ago

mambo na calculus

Chuga's profile picture
Chuga4 months ago

@mreno255 Calculus gani hapo

Honourable speaker KILESI๐Ÿ•Š๏ธ's profile picture
Honourable speaker KILESI๐Ÿ•Š๏ธ4 months ago

@mreno255 hiyo yake bado sana ijawa advanced bado yupo kwenye stage ya algebra

Eng Msaki's profile picture
Eng Msaki3 months ago

Huyu dogo tapeli tu huyu

MRENO_255's profile picture
MRENO_2553 months ago

Amini bro ๐Ÿ˜‚๐Ÿ’ช๐Ÿฟ

Eng. Paul๐Ÿ‘ท๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ's profile picture
Eng. Paul๐Ÿ‘ท๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ3 months ago

Difference of two squares applies for two different numbers I e aยฒ-bยฒ sio aยฒ-aยฒ hapo jibu ni sifuri

bin Luc's profile picture
bin Luc4 months ago

Baadae wanakuwa akina prof Lipumba

MRENO_255's profile picture
MRENO_2554 months ago

Kumbe

Emma B. M.'s profile picture
Emma B. M.3 months ago

Atleast huyu anakuja na issues za kuwajenga vijana nje ya content za akili mfu๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘Kijana akazane kusoma aje ajikosoe mwenyewe kwenye hii clip na atuombe samahani๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ... usiache kujenga vijana katika mlengo huu... ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

uncle ร€'s profile picture
uncle ร€3 months ago

Huyo akikuwa ndio anakuja kuwa km wale maprofessa wa CCM anakufanya unajiulza kwan u profesa aliupataje ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

norch's profile picture
norch3 months ago

Hamna kitu apo

Related Videos