Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Kaka yake Pole pole
33 Yorum

Amuachie Mwanangu.....

Sikiliza maneno ya Mama mzazi wa Humprey Polepole, Akitaka Arudishiwe mwanae akiwa Hai au La! Video kwa Comments 👇

Mama nae nae freedom fighter mwenye chembe chembe za Gen Z......ila kama ni kweli mama kizimkazi anahusika basi ICC wasiwaangalie wakina museveni tu waaje na huyu pia

Mchuma janga hula na wakwao!

Unamuomba Mama Wakati Mdogo Wako Anamtukana uliona Sawa? Kumbuka nae ana watoto wanajisikia Vibaya Yule Mfano Huyo Tesha Anasema Kikwete Mwizi Seriou?

Haya mambo ona au sikia kwa mwingine usiombe yakukute. Inaumiza mno. But we have decided enough is enough tukutane 29th October 💪🏽

Aiseee hii hapan inaumaa san,ata kama ndugu yako ni mbayaa kiasii gani ila ukijua yupo sehem mbaya aisee damu ni nzitoo mnooo

Hata wao watakufa vbaya sana na damu ya mtu si ya kuku

Machozi ya mtu mzima😭😭😭

Tunajua hakuna atakae baki duniani lakini katika hili tunaumia pande zote na hakuna aliyeko salama mpaka sasa

Unamuomba nani????

Mheshimiwa @TuliaAckson unajiskiaje ukiona haya Mambo mama yangu?!

Inahuzunisha sana 😢

Nchi inayoongozwa na magenge ya kihuni

Inauma sna

Anamuomba Nan ?

@TuliaAckson serikali ya kihuni serikali ya wahuni you are not feel ashamed of yourselves…. Shame on you

Damu ya mtu haipotei @SuluhuSamia ... Haijawahi kumuacha mtu salama

Ameanza vizuri t ila hapo mwisho ndio kaharibu

Hata kaka take na mdude na soka hata wao nadhani wanalia sana

Machozi ya watanzania wanaolilia nchi yao ni kiashiria cha mamlaka ya kishetani ambayo yameiongoza nchi hii kwa kipindi kirefu sasa yanakaribia kufika mwisho.

Nafasi hiyo haipo tena, jikaze tu

Hayo machozi yatalipwa

Dahh! 💔💔 Inaumiza sanaaa!! October 29 tutakuwepo!! 💭

pole sana machozi ya watu kama wewe watekaji wameyasoea sasa wengi.wamelia wamelia badaye wakatulia. kaka pole. tutakufuta machozi 29.

Dah. Hii inaumiza,hutaelewa hadi yakukute

Its so sad tumefika huku 💔

Daah😭😭😭

kuna makuma wanataka tuongee tofauti watufanye mboga ila kutekana ni usenge nikikamata mtekaji adivataizi lazima nimpake mafuta kwenye kinyeo mpka aseme ametumwa na nani wao kama hawana vizazi 💔

💔

Huyu ni mdogo wake. Siyo kaka.

Dah

Unamwomba mama wakati ndiye kiongoz wa watekaji hii ni akil tope huyu ndo kitu anawexa kifanya ikulu tu hana kingine anaeeza na kuuza mali za tanganyika aka dalali
