正在加载视频...
视频加载失败
Kama hujala nambie
37,914 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
11 条评论

🤣🤣 we tajiri Miyeyusho hela zenyewe hutoi fala wewe Kila ukiingia live unatuchora Tupe wewe number tukutumie hela huna hela ya kutulisha sisi wewe

if you like space, check out this song

Wekeni namba wakuu sasa ujala manake nin 😂 amtaki kuokota

Duuu... Acha tuendelee kukaza fuvu na kujiaminisha tunayoamini kwa msukumo wa wivu😁😁 but 4sure life hii uki fake wiki mingi aisee, pyee za kutosha kitaa

Sijafanikiwa kupata chochote kitu leo tajiri mdogo mwenye pesa nyingi

Mkaribishe basi ata uyo mlinzi asee anaangalia kwa huruma😀

Tajiri hawezi weka sura ya masononeko hivo baada ya kudondosha kipande cha nyama 😅😅🫵

Nasikia unatapeli watu eti Toa laki upate mali

0789190372 Boniface hapa njaa kali niweke kibaba

Weka namba na wew nikutumie kitu

Janja weka nambaa uokote

