Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

14,447 views โ€ข 6 months ago โ€ขvia X (Twitter)

27 Comments

Latto ๐•'s profile picture
Latto ๐•6 months ago

Mimi sio maneno yangu ๐Ÿ‘ Msikilize aliyeyasema kwenye video! Video kwa Comments ๐Ÿ‘‡

Roggie's profile picture
Roggie6 months ago

Hata hayo ya uchumi sina uhakika kama nayo unayajua kama unavyosema.

Ulimwengu Nyota's profile picture
Ulimwengu Nyota6 months ago

Tanzania simama nishuke nakuomba

mkinga's profile picture
mkinga6 months ago

Binafsi nimemuelewa alichoongea nikiondoa usiasa na uhasama amesema ,ukweli hapa sasa wasaidizi wake wanabidi wamsaidie na ndio uitwa taasisis ,

ChaliNavigator's profile picture
ChaliNavigator6 months ago

Na hao wanaojua wapo ndio hao CAG na rwport huwa wanakupa ila kushughulika na hizo report pia huwezi ๐Ÿ™Œ

Lodrick ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ's profile picture
Lodrick ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ6 months ago

Daah!

tiba asili's profile picture
tiba asili6 months ago

tumepigwa

Thomas Mwakagile's profile picture
Thomas Mwakagile6 months ago

Tatizo liko wapi kaongea Ukweli wake ingawa anaweza kuunda tume ya watalaam pale penye shaka wakampa Ukweli na isitoshe hakuna alipotaja kuhusu uwanja wa Arusha.

MkP๐Ÿ’ช๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ's profile picture
MkP๐Ÿ’ช๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ6 months ago

Chuma hicho๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐ŸŽฏ

khalfani ally's profile picture
khalfani ally6 months ago

Rais anawasadizi wake kwa kila ngazi. Nchi inamiradi mingi sana. Mawaziri,manaibu mawaziri na makatibu ni wajibu wao kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa

OWEH ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿดโ€โ˜ ๏ธ's profile picture
OWEH ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿดโ€โ˜ ๏ธ6 months ago

Yan unaweza ukawaza kutuma KOFI au BANZI dah sema ngoja niiishie hapa ila naona UVIVU

Mbalila K.'s profile picture
Mbalila K.6 months ago

Hivi vyombo vinavyohusika na haya mambo ni vya nani?

Economisttz's profile picture
Economisttz6 months ago

Unaujua uchumi gani wewe bwana kama huwezi fanya cost benefit analysis wewe ni mchumi au mchumia

MANGISINA__๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ's profile picture
MANGISINA__๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ6 months ago

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

29thoc's profile picture
29thoc6 months ago

Mama anaupiga mwing nae na mwamposa kesha mtabiria 2030 tena manina zenu tz

Mtanzania Kaka's profile picture
Mtanzania Kaka6 months ago

What she is doing there

Ignaz Semmelweis's profile picture
Ignaz Semmelweis6 months ago

Tumia wakaguzi

M@โ‚ฌ$TยฎO- $trait of Hormuz's profile picture
M@โ‚ฌ$TยฎO- $trait of Hormuz6 months ago

MSIKILIZE CAG Mheshimiwa. Fanyia Kazi Ripoti zake- Wanyooshe tu, Usisite site

frizzante๐Ÿซฆ๐Ÿซง๐ŸŽ“'s profile picture
frizzante๐Ÿซฆ๐Ÿซง๐ŸŽ“6 months ago

๐Ÿ˜ณkachoka???

Time.'s profile picture
Time.6 months ago

Wasemwe waone aibu

Imaginator's profile picture
Imaginator6 months ago

Tumeisha

Sharad Saksena's profile picture
Sharad Saksena6 months ago

Aaatasa!!!

James Elisafi's profile picture
James Elisafi6 months ago

Duh! Kwisha habari yetu

Saidkichwa's profile picture
Saidkichwa6 months ago

Dah

The Bullet's profile picture
The Bullet6 months ago

Nyie mama anahema vizuri.

BROWN ๐ŸŸค's profile picture
BROWN ๐ŸŸค6 months ago

@StreamviDL

Sweddy The Futures's profile picture
Sweddy The Futures6 months ago

Kmk walai๐ŸคฏYan raisi unathubutu kuongea hivi public kweli,,๐Ÿ˜…em fikiria wezi wanavyofurahi kusia haya maneno

Related Videos