正在加载视频...

视频加载失败

Kama kuna Miradi.....

14,447 次观看 • 6 个月前 •via X (Twitter)

27 条评论

Latto 𝕏 的头像
Latto 𝕏6 个月前

Mimi sio maneno yangu 👐 Msikilize aliyeyasema kwenye video! Video kwa Comments 👇

Roggie 的头像
Roggie6 个月前

Hata hayo ya uchumi sina uhakika kama nayo unayajua kama unavyosema.

Ulimwengu Nyota 的头像
Ulimwengu Nyota6 个月前

Tanzania simama nishuke nakuomba

mkinga 的头像
mkinga6 个月前

Binafsi nimemuelewa alichoongea nikiondoa usiasa na uhasama amesema ,ukweli hapa sasa wasaidizi wake wanabidi wamsaidie na ndio uitwa taasisis ,

ChaliNavigator 的头像
ChaliNavigator6 个月前

Na hao wanaojua wapo ndio hao CAG na rwport huwa wanakupa ila kushughulika na hizo report pia huwezi 🙌

Lodrick 🇹🇿 的头像
Lodrick 🇹🇿6 个月前

Daah!

tiba asili 的头像
tiba asili6 个月前

tumepigwa

Thomas Mwakagile 的头像
Thomas Mwakagile6 个月前

Tatizo liko wapi kaongea Ukweli wake ingawa anaweza kuunda tume ya watalaam pale penye shaka wakampa Ukweli na isitoshe hakuna alipotaja kuhusu uwanja wa Arusha.

MkP💪🇹🇿 的头像
MkP💪🇹🇿6 个月前

Chuma hicho💥💥💥🔥🔥🔥🎯

khalfani ally 的头像
khalfani ally6 个月前

Rais anawasadizi wake kwa kila ngazi. Nchi inamiradi mingi sana. Mawaziri,manaibu mawaziri na makatibu ni wajibu wao kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa

OWEH 🇰🇪🏴‍☠️ 的头像
OWEH 🇰🇪🏴‍☠️6 个月前

Yan unaweza ukawaza kutuma KOFI au BANZI dah sema ngoja niiishie hapa ila naona UVIVU

Mbalila K. 的头像
Mbalila K.6 个月前

Hivi vyombo vinavyohusika na haya mambo ni vya nani?

Economisttz 的头像
Economisttz6 个月前

Unaujua uchumi gani wewe bwana kama huwezi fanya cost benefit analysis wewe ni mchumi au mchumia

MANGISINA__🇰🇪🇹🇿 的头像
MANGISINA__🇰🇪🇹🇿6 个月前

😂😂😂😂😂😂

29thoc 的头像
29thoc6 个月前

Mama anaupiga mwing nae na mwamposa kesha mtabiria 2030 tena manina zenu tz

Mtanzania Kaka 的头像
Mtanzania Kaka6 个月前

What she is doing there

Ignaz Semmelweis 的头像
Ignaz Semmelweis6 个月前

Tumia wakaguzi

M@€$T®O- $trait of Hormuz 的头像
M@€$T®O- $trait of Hormuz6 个月前

MSIKILIZE CAG Mheshimiwa. Fanyia Kazi Ripoti zake- Wanyooshe tu, Usisite site

frizzante🫦🫧🎓 的头像
frizzante🫦🫧🎓6 个月前

😳kachoka???

Time. 的头像
Time.6 个月前

Wasemwe waone aibu

Imaginator 的头像
Imaginator6 个月前

Tumeisha

Sharad Saksena 的头像
Sharad Saksena6 个月前

Aaatasa!!!

James Elisafi 的头像
James Elisafi6 个月前

Duh! Kwisha habari yetu

Saidkichwa 的头像
Saidkichwa6 个月前

Dah

The Bullet 的头像
The Bullet6 个月前

Nyie mama anahema vizuri.

BROWN 🟤 的头像
BROWN 🟤6 个月前

@StreamviDL

Sweddy The Futures 的头像
Sweddy The Futures6 个月前

Kmk walai🤯Yan raisi unathubutu kuongea hivi public kweli,,😅em fikiria wezi wanavyofurahi kusia haya maneno

相关视频