Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
😂😂😂 kama sio kubeti ni nini hiki?
161,048 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

Huyu Beki ni right footer. Unaona hata hivyo amejitahidi kupeleka mguu wa kulia lakini amechelewa, angekuwa left footer huo mpira angeutoa vizuri.

Sawa bwana harusi.

Nilivokuaga naangalia Skonga nilijuaga una akili sana

Yaani na akili zako zote hizo ulikaa kabisa kuangalia Skonga ukaacha kufuatilia wenye akili wenzio? Sasa akili zako zilikusaidia nini ndugu yangu Jogoo?

Mwanangu hata Danadana sijui kama unaweza, Huo mpira kuutoa inahitaji uwe Too Flexible na kasi Pia, Makame sio aina ya Wachezaji wa hivyo

Sijui mkuu. Wewe naona Na danadana zako uko hapo Real Madrid. Hongera.

Kubet si hata beki wako ali bet tulipokutana kaka, au ushasahau? 😂

Hizi zinabet kabisa

Hujacheza boli tatizo

Sawa mchezaji wa Pamba ya Mwanza.
Benzer Videolar
Ila chimamakeke😂😂 Pipi Tilda katulia kama sio yeye 😂😂
Surv.Benjamin
118,468 görüntüleme • 15 gün önce
