Loading video...
Video Failed to Load
Kama uko na baby mama just listen
190,514 views • 2 years ago •via X (Twitter)
10 Comments

Nime confess bas

Kaa ukijua

Nyinyi huongea murima women, hamjawahi kutana na Hawa lakeside women, 😂😂😂hii kucollabo na side chicks nayo wamekolea

Its the new trend na ilianza majuu...Unatengeneza kastory kapoa then unapost. Saa zingine unaweka kaukweli kiasi then jaba. Ladies hawajali story ya CV yao wanajali story ya pesa zao, ndio maana dem atatembea uchi ndio apate pesa juu pesa ndio maana kuliko CV kwao.

95% ya hii story ni jaba tupu. Huyu anaona tukiwa madwanzi kama yeye😂😂. Binadamu mgani anaweza vumilia hizo vitu zote na hizo red flags zote? Anyway anaweza kuwa story teller mzuri. Mtu amuamshe kabla akojoe kwa kitanda.

hakuna angle ingne mtu anaeza tumia ya camera??😅😅😅

Ii nayo haikai real pia. Lakini najua nini😂😂

Watu sio wajinga buana! 😂

Izo vitu zote ni uongo

If we all had this reasoning we wouldn’t have evolved
Related Videos
Wanangu hata kama baby mama anazingua kiasi gani usitumie undava
Uncle Fafi
105,118 views • 1 year ago
