正在加载视频...

视频加载失败

Kama una muda msikilize mwamba. 👇👇

70,761 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

@G7 ⛈❄ 的头像
@G7 ⛈❄1 年前

Kumbe huwa kunatyme linaakili eeeh Mm sijui kuhama chama sjui nini hayo ya kwake ila nitampongeza kile kinachotoka kinywani

Solar Heavy 的头像
Solar Heavy1 年前

got a min for a new song?

mkaruka 的头像
mkaruka1 年前

yeye aendelee kusema nasimama na mama

blessing justice 的头像
blessing justice1 年前

Mnyakyusa mwenzangu mshamba kinoma. Wewe c ndo ulikuwa kwenye mick unasema ccm mitano tena? Nakusanua. Sisi wanainchi ndo wanunua ving'amuzi na walipa kodi ya serikari na kuripa garama ya ving'amuzi

Masawe💫 的头像
Masawe💫1 年前

Kuna hoja hapa ukimsikiliza kwa makini

Benedict Mapu 的头像
Benedict Mapu1 年前

Hiii sheria asili yake ni uislam ndo kama haji mtu anaoa anaacha watoto anaoa mwingine akijisikia anaacha tena wale waislam wa hispania wakaona watoto wengi wapo mtaani ndo wakaleta ukimwacha mwanamke umpe Mali baadae ndo ikaenda mpaka kwa hao wazungu wao wali modify tu

ilitarakimura 的头像
ilitarakimura1 年前

Huyu jamaa ana hoja za msingi apewe nafasi zaidi,ni kweli Serikali ni tatizo Serikali unachangia ndoa nyingi kusambaratika kutokana na upendeleo kwa Wanawake,hao wasomi binafsi sion faida ya usomi wao kabisa,hata huko dawati la jinsia hakuna kitu zaidi ya kumtetea Mwanamke.

Adam Mkali 的头像
Adam Mkali1 年前

Juz juz huyu anadai katoka chadema kahamia ccm kanya weee leo tena unailaumu serikali sijui mahakama mifumo ya sheria na nn Tulia hapo gapo dawa ikuingiee

keith Evans 的头像
keith Evans1 年前

Ni Time muafaka Tz kuleta Pre-Nup,watu wanaumia mno

Mpili Jr 的头像
Mpili Jr1 年前

Kaongea point

nasra 的头像
nasra1 年前

Nilitaka niongee mengi kuhusu huyu ila naona yote wenzangu mmeshaniwakilisha🤝🤝

相关视频