正在加载视频...

视频加载失败

Kampuni gani hii? 😂😂😂😂

69,484 次观看 • 2 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

PeterMaganya 的头像
PeterMaganya2 年前

Mallesa ya Geita -Dar

Mganga mfawidhi 的头像
Mganga mfawidhi2 年前

👊

Nyasbo 5G 的头像
Nyasbo 5G2 年前

Siku Moja Nilipanda Hiyo Basi Toka Singida Kuja Dar Tulipofika Mitaa Ya Tumbi Jamaa Akaanza Hivyo Vibwagizo!! Aisee Noma Sana Ujue..Kama Cjakosea Basi Lenyewe Ni Ester

Mganga mfawidhi 的头像
Mganga mfawidhi2 年前

Hili naambiwa ni Mallesa

Thomas Kiluswa 的头像
Thomas Kiluswa2 年前

Hiii sio sawa aina tofauti na kuongea na simu wakati una drive

Mganga mfawidhi 的头像
Mganga mfawidhi2 年前

Haya

Raymond Nyamwihula 的头像
Raymond Nyamwihula2 年前

Nchi ina burudani hii 🤣🤣🤣

Mganga mfawidhi 的头像
Mganga mfawidhi2 年前

Lakini ni ukumbusho mzuri na muhimu 😂😂😂😂😂

Eng.Shabir Mwangere 的头像
Eng.Shabir Mwangere2 年前

Nilikuepo kwenye bus nilikumbuka kuzifuta 😃

Shadrack Senya 的头像
Shadrack Senya2 年前

Wageni ni wengi bora kawakumbusha abiria dar ina watu wema wachache na watu wa ovyo wengi sana kuliko mikoa yote

Mganga mfawidhi 的头像
Mganga mfawidhi2 年前

Kabisaaaa