Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Kamwe alisema Lakini.😂
66,125 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

Kaka1 yıl önce
Ukiachana na mambo ya Usimba na Uyanga jamaa huwa anajua kuchambua mpira achana na akina Oscar Oscar wanasiasa

Mfuasi wa Young Africa1 yıl önce
Wala sio unabii,. Ni kiasi tu cha kuujua mpira😂🤣🤣

B’M1 yıl önce
Kapita mule mule 😂😂

𝐊𝐢𝐝𝐮𝐝𝐮 𝐌𝐭𝐮 𝐉𝐑™1 yıl önce
🙌🏻🙌🏻🙌🏻😂

Johngeorge Werema1 yıl önce
Huyu Dogo angekuwa mtabili tu hamna namna

kitokololoo1 yıl önce
Nauliza hv muunganiko walosema bado?

𝐊𝐢𝐝𝐮𝐝𝐮 𝐌𝐭𝐮 𝐉𝐑™1 yıl önce
😂😂

Malalo Adam1 yıl önce
Tar 19 inna Lillah waina illah rajiun 😂😂

radash051 yıl önce
Kiukwel nikiona iv naskia raha sana mm nafatialia hata kbla ya mechi huwa namskiliza akisema muhm point 3 ujue game nzito ila akisema wachezaji wana moral sijui wako vzr siku iyo ni kifo😀

Mangi Wa Kichagga1 yıl önce
Uyu jamaa ni Kama Mchawi
