ๆญฃๅจๅ ่ฝฝ่ง้ข...
่ง้ขๅ ่ฝฝๅคฑ่ดฅ
Kamwe alisema Lakini.๐
66,129 ๆฌก่ง็ โข 1 ๅนดๅ โขvia X (Twitter)
10 ๆก่ฏ่ฎบ

Kaka1 ๅนดๅ
Ukiachana na mambo ya Usimba na Uyanga jamaa huwa anajua kuchambua mpira achana na akina Oscar Oscar wanasiasa

Mfuasi wa Young Africa1 ๅนดๅ
Wala sio unabii,. Ni kiasi tu cha kuujua mpira๐๐คฃ๐คฃ

BโM1 ๅนดๅ
Kapita mule mule ๐๐

๏ฃฟ ๐๐ข๐๐ฎ๐๐ฎ ๐๐ญ๐ฎ ๐๐โข1 ๅนดๅ
๐๐ป๐๐ป๐๐ป๐

Johngeorge Werema1 ๅนดๅ
Huyu Dogo angekuwa mtabili tu hamna namna

kitokololoo1 ๅนดๅ
Nauliza hv muunganiko walosema bado?

๏ฃฟ ๐๐ข๐๐ฎ๐๐ฎ ๐๐ญ๐ฎ ๐๐โข1 ๅนดๅ
๐๐

Malalo Adam1 ๅนดๅ
Tar 19 inna Lillah waina illah rajiun ๐๐

radash051 ๅนดๅ
Kiukwel nikiona iv naskia raha sana mm nafatialia hata kbla ya mechi huwa namskiliza akisema muhm point 3 ujue game nzito ila akisema wachezaji wana moral sijui wako vzr siku iyo ni kifo๐

Mangi Wa Kichagga1 ๅนดๅ
Uyu jamaa ni Kama Mchawi
