Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

11,607 views โ€ข 1 year ago โ€ขvia X (Twitter)

11 Comments

ุจูˆ ุณุงู„ู… ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ's profile picture
ุจูˆ ุณุงู„ู… ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ1 year ago

Hawa jamaa naskia wamepona Alhamdulillah

Solar Heavy's profile picture
Solar Heavy1 year ago

whoa this one is different

Optimist.'s profile picture
Optimist.1 year ago

Daah,Inatokeaje?!

teke's profile picture
teke1 year ago

Haikuwa leo hii

Rhodes Mcleevy's profile picture
Rhodes Mcleevy1 year ago

Sio ya Leo hii

AM๐Ÿ’ก's profile picture
AM๐Ÿ’ก1 year ago

Umeme sio mchezo

MD's profile picture
MD1 year ago

Duuh

fantasy ๐Ÿค๐Ÿงš's profile picture
fantasy ๐Ÿค๐Ÿงš1 year ago

So sad aisee

Changamlilo's profile picture
Changamlilo1 year ago

Tanesco au huyo Engineer anayejenga hapo, mmoja anatakiwa awajibike.

Agnostic's profile picture
Agnostic1 year ago

11Kva oyaaaaa

Mr Roboto๐Ÿ‘ฝ๐Ÿ‘ฝ's profile picture
Mr Roboto๐Ÿ‘ฝ๐Ÿ‘ฝ1 year ago

๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ

Related Videos

1/365 โœ… Hivi ndivyo nilivyoanza mwaka huu, leo niliona nitoe pesa, lipikwe Biriani, nyama (Roast) na mayai, kisha vikapelekwe kariakoo zaidi ya SAHANI 200, na maji 200. Nashukuru sana ndugu yangu Lulu Mapunda Kwa kufanikisha hili jambo jema, hakika ameendelea kuwa balozi wangu mzuri MUNGU atakulipa ndugu yangu. Kwanini kariakoo? Wote mnajua kijana wenu nilitekwa 23/6 kwasababu ya MISIMAMO yangu ya kuwasemea watu wa Kariakoo mtandaoni. Nilitekwa na kuenda kupigwa RISASI ya KICHWA huko mbuga ya KATAVI ili niliwe na MAMBA na VIBOKO, ikishindikana niliwe na WANYAMA wa kali wa hiyo MBUGA. Ila Mkono wa MUNGU ulikuwa na mimi, haya mabaya yote waliyopanga dhidi yangu hayakuweza kitimia, leo naishi. Kupitia huo mkasa, nikaona leo nikatembelee jamaa ambao walitamani leo wawe na FAMILIA ZAO kama sisi, ila kutokana na ugumu wa maisha wameingia mzigoni kupiganisha. Nimeona niwapunguzie ukali wa maisha leo, wasinunue chakula wala maji mchana wa leo hao watu 200 mimi nitasimamia bill hiyo. Tuendelee kupambana, tusiache kuwakumbuka wenye uhitaji maana kuwasaidia hao ndio sadaka ya Kweli ambayo MUNGU Huipokea. Lakini pia lazima niwashukuru Team nzima walioshirikiana na LULU kukamilisha hili, kipekee nimshukuru home BOY HOLLY STAR kwa kutupa GARI lililowezesha kubeba chakula hiki mpaka kariakoo. Mwaka 2025 ukawe mwaka mzuri kwetu wote wapambanaji, kila mlango tutakaobisha Mungu akafungue. Lengo ni kufika wote nchi ya ASALI NA MAZIWA. Asanteni sana KARIAKOO kwa kupokea hii sadaka yangu, maana mngeweza kuikataa, ila nawashukuru sana kwa ushirikiano, na niwatakie kila lakheri kwenye mapambano yenu 2025. SATIVA17๐Ÿซก

SIR TIVA

99,962 views โ€ข 1 year ago