正在加载视频...

视频加载失败

11,607 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

بو سالم 🇹🇿 的头像
بو سالم 🇹🇿1 年前

Hawa jamaa naskia wamepona Alhamdulillah

Solar Heavy 的头像
Solar Heavy1 年前

whoa this one is different

Optimist. 的头像
Optimist.1 年前

Daah,Inatokeaje?!

teke 的头像
teke1 年前

Haikuwa leo hii

Rhodes Mcleevy 的头像
Rhodes Mcleevy1 年前

Sio ya Leo hii

AM💡 的头像
AM💡1 年前

Umeme sio mchezo

MD 的头像
MD1 年前

Duuh

fantasy 🤍🧚 的头像
fantasy 🤍🧚1 年前

So sad aisee

Changamlilo 的头像
Changamlilo1 年前

Tanesco au huyo Engineer anayejenga hapo, mmoja anatakiwa awajibike.

Agnostic 的头像
Agnostic1 年前

11Kva oyaaaaa

Mr Roboto👽👽 的头像
Mr Roboto👽👽1 年前

😳😳

相关视频

1/365 ✅ Hivi ndivyo nilivyoanza mwaka huu, leo niliona nitoe pesa, lipikwe Biriani, nyama (Roast) na mayai, kisha vikapelekwe kariakoo zaidi ya SAHANI 200, na maji 200. Nashukuru sana ndugu yangu Lulu Mapunda Kwa kufanikisha hili jambo jema, hakika ameendelea kuwa balozi wangu mzuri MUNGU atakulipa ndugu yangu. Kwanini kariakoo? Wote mnajua kijana wenu nilitekwa 23/6 kwasababu ya MISIMAMO yangu ya kuwasemea watu wa Kariakoo mtandaoni. Nilitekwa na kuenda kupigwa RISASI ya KICHWA huko mbuga ya KATAVI ili niliwe na MAMBA na VIBOKO, ikishindikana niliwe na WANYAMA wa kali wa hiyo MBUGA. Ila Mkono wa MUNGU ulikuwa na mimi, haya mabaya yote waliyopanga dhidi yangu hayakuweza kitimia, leo naishi. Kupitia huo mkasa, nikaona leo nikatembelee jamaa ambao walitamani leo wawe na FAMILIA ZAO kama sisi, ila kutokana na ugumu wa maisha wameingia mzigoni kupiganisha. Nimeona niwapunguzie ukali wa maisha leo, wasinunue chakula wala maji mchana wa leo hao watu 200 mimi nitasimamia bill hiyo. Tuendelee kupambana, tusiache kuwakumbuka wenye uhitaji maana kuwasaidia hao ndio sadaka ya Kweli ambayo MUNGU Huipokea. Lakini pia lazima niwashukuru Team nzima walioshirikiana na LULU kukamilisha hili, kipekee nimshukuru home BOY HOLLY STAR kwa kutupa GARI lililowezesha kubeba chakula hiki mpaka kariakoo. Mwaka 2025 ukawe mwaka mzuri kwetu wote wapambanaji, kila mlango tutakaobisha Mungu akafungue. Lengo ni kufika wote nchi ya ASALI NA MAZIWA. Asanteni sana KARIAKOO kwa kupokea hii sadaka yangu, maana mngeweza kuikataa, ila nawashukuru sana kwa ushirikiano, na niwatakie kila lakheri kwenye mapambano yenu 2025. SATIVA17🫡

SIR TIVA

99,962 次观看 • 1 年前