Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Karibu UDOM!
39,083 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
10 Kommentare

Hiyo G.P.A ni ndogo Sana,,kuanzia 3.1 Mimi nimesoma hapo natural science school of physical science naongea ninachokijuwa

Hizo Masters uhakika wanetu? Nisije nikaacha VETA alafu baadae nikarudishwa

Kwanin msiweke ulazima wa wanafunzi wote kufanya Check up ya Afya pindi vyuo vinavyofunguliwa!

Sisi wenye GPA kubwa hamtutendei Haki wekeni isiwe under 3.5

bora, walikuwa wanatutisha wenye G.P.A chini ya 3.5 uwezi kusoma sasa ngoja nimwambie mwanangu @NDESSYABILITY aje akasome mana alipata 2.7 ya ualimu

GPA ya 2.7 masters? Mbona ndogo walau upper

Hvi kuna mtu anafauli kwa GPA ya 2.7 😭😭😭

Waziri kashatwambia twende VETA nyie mnaleta mambo ya masters

Lini Chuo changu pendwa mtaanzisha Masters of Education in Psychology??

Diploma tena?
